Kagame anasema kwenye kikao cha marais wa EAC alitoa wazo la kuzuia importation ya mitumba ili kuanzisha na kulinda viwanda vya nguo ndani ya EAC. Nchi nyingine zilipigwa mkwara na US zikanywea, yeye akakaza, mwisho akatolewa kwenye AGOA.
@jasonpho3nix @lordmoremi Ushawahi kusikia Bank zinabet, kilichotokea US 207-208 huku ni ngumu sana coz ours the CB does regulate CmB very well kuliko Marekani
@Brother_Sudi@mykved China and the US housing bubbles were quite similar in that they heavily relied on bank loans that were poorly orchestrated. There was easy access to mortgage loans. When the banks could no longer finance then the collapse became inevitable but that is not the case with Tz
@MarekaMalili Okay lets say umekuja kunikagua nikakwambia hao wananipa technical support before sheria haijabadilishwa utanikatalia na sehemu ni yangu na leseni mimi ndo mmiliki halali
WaCongo, Zimbabwe, Zambia na Malawi, wameanza kusonga China wenyewe mzigo wao now unapita tuu hapa.
Nafikiri tumechelewa kuikuza Dar ilifaa iwe kama duka la EAC mzigo uwe kitonga kuliko mtu kwenda China.
Soon kariakoo itabaki kwa watu wa mikaoni, au watu wa Dar kufanya shopping
Wafabiashara wengi mnaweka Profit margin kubwa mno na ndo maana sasahivi mnalalamika
Mfano dada hapo gauni la 15k yeye kaliuza 25k kaliuza asilimia 75 ya thamani aliyonunulia.
Yale yale ya Mbeya 😂 Mnanunua mchele vizuri na jirani yako ila tofauti ni yeye ana mtaji wa magari 2, wewe mtaji gunia 100 tu. Cha kushangaza mchele tumenunua 1800 anauza 1850 🤣 mchele wa kuza 2100 yeye anauza 1850 qmmk biashara zina mtihani sana asee mpaka nachoka