Viongozi wa nchi inabidi wajitathimini,wajitafakari,wajifikilie je kama tarehe 29 October 2025 iliwezekana WANANCHI waliandamana na shughuri za kiuchimi NCHINI zilizimama shughuri za maendeleo zilizimama watu tumewapoteza wapendwa wetu ndugu jamaa na marafiki JE WHAT NEXT???
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Hii nayo ni humiliation😡💔,kumaanisha TAL kakurupushwa usingizini na kuambiwa twendetwende😭, wamemwarakisha mzee atoke akiwa hajajiweka sawa kuja kusimama mbele ya audiance,? hii mijibwa hivi yanajua kuwa LISSU Yupo gerezani kwaajili ya kuwatetea wao? muda ni rafiki mzuri, kila kitu kitakuwa bayana, usikate tamaa mzalendo🔕
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (@TanganyikaLaw ), Wakili msomi @Mwabuk2Boniface leo Aprili 30, 2026 akiongea na Mawakili katika Mkutano Mkuu uliofanyika jijini Arusha amesema anachofanyiwa @TunduALissu ambaye ni Rais Mstaafu wa TLS na Wakili msomi katika kesi ya uhaini inayomkabili si sawa kwa sababu kesi yake inaendeshwa kinyume cha sheria,
“Tundu Lissu sio mhaini, kama Tundu Lissu anatusumbua kisiasa futa mfumo wa vyama vingi”
#KitengeUpdates
DAR: Rais Samia amezungumzia Ripoti aliyokabidhiwa na Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 akisema ni ya Rais na hatakiwi kujitokeza Mtu mwingine kuiomba.
Zaidi https://t.co/CLRgOA714Y
#JamiiForums #Governance #Uwajibikaji