@a_madembwe Umenikumbusha huyu home boy wangu. Alikuwa wa moto sana anapojenga hoja na alikuwa na staili yake ya uvaaji pia. Aliwahi kumkosoa Kitila Mkumbo kwenye mtandao mmoja kwa hoja nzuri sana akimkumbusha msimamo aliyomfundisha darasani na matendo na kauli zake wakati huo. Ila nae....