Mara sita kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika si jambo dogo! Ni matokeo ya miaka ya uwekezaji, mipango, nidhamu na dhamira ya kuijenga Simba yenye ushindani barani Afrika.
Tumetoka mbali, lakini malengo yetu ni makubwa zaidi. Tunajivunia hatua tulizopiga, lakini hatujaridhika. Ndoto yetu ni kutwaa ubingwa wa Afrika.
Safari inaendelea. #Simba #NguvuMoja! ๐ฆโค๏ธ
Simba SC 3-0 15 de Agosto || AGG 9-1 || Simba's hunger needs to be studied || Watch full video on YouTube via link in bio
#CAFCL#NguvuMoja#FooballIntel