KUMBUKIZI: Sehemu ya mjadala katika Bunge la 10, Mkutano wa 18, Kikao cha 3, uliofanyika Januari 29, 2015, ulihusisha Mbunge Tundu Lissu akichangia hoja huku Spika wa Bunge, Anne Makinda, naye akitoa muongozo.
Hoja iliyokuwa mezani ilikuwa ni tukio la Mwenyekiti wa CUF wa wakati huo, Prof. Ibrahim Lipumba, kupigwa wakati wa maandamano yaliyoongozwa na chama hicho.
Kushiriki mjadala huu https://t.co/DnJV3JZcRJ
#JamiiForums #Siasa #JFKumbukizi
@Royal_Tv_Tz NYIE wazeee kwa SIASA ZENU za tamaaa ya MADARAKA paso na ridhaa ya wananchi, NDIO MNALIHARIBU TAIFA LETU TUKUFU..WIZI, DHULMA MAUAJI NI LAAANA..PENYE LAANA HAPAMEI, HAPANA BARAKA.
@JamiiForums Huyu naye, SASA Kumpeleka BABALEVO Mahakamani ndio kuitIsha vyombo VYA habari??SIASA ZA udananda, na ujanja ujanja, HAZINA MSAADA KWA TAIFA..KAWAPIGA KGM NA BOSI WAKO..MTULIE....UDALALI TUU.
@TheChanzo Wee Mzee SIASA ZA TZ baada ya Oct 29, zilibadilika, Hilo kiburi na kujifanya Hamnui waTz Wanataka nini na Kuwaona WATZ HAWAJUI WANATAKA NINI, NA NINI KINAENDELEA MTAHARIBIKIWA, AMKENI KWENYE KIBURI CHA MADARAKA YA KUIBA
@MchinjitaIR@mwigulunchemba1 Huyo ni mnufaika wa UTEKAJI, ANALETA PROPAGANDA ILA ANAJUA KILA KITU... WANATUONA WATZ MAZEZETA..ILA INSHALLAH MUNGU YUPO, ATAJIBU KWA UKALI
@Mwabuk2Boniface Cccm hawapo Tayari kwa UKWELI wala Maridhiano, WAO ni UWONGO, propaganda na kujifanya hawahusiki...WATAWNDELEA UOVU HAWAPO TAYARI KWA HAKI.
Watanzania watakomesha huu ujinga very soon..
Wote mnaofanya haya mtakosa pakukimbilia, haiwezekani mtekaji akajichunguza mwenyewe..
Kitendo walichofanya polisi kimeondoa mashaka yote, kwa mtu yeyote aliyekua haamini namna hii dola dhalimu imeoza na inavyofanya vitendo vya kijambazi dhidi ya raia wema.
Nasuburi Chande aseme mpenzi mwenye pingu, au mshirikina anaeteka raia kwa pingu.
Tundu Antipas Mugwai Lissu, you can't go toe to toe with this Man broh 🙌.
Yani anaelezea jambo kwa hoja zinazomake sense hata mwendawazimu anaweza elewa
Wapendwa Haki wote, tunatakiwa kumpigania Mhe. Lissu kwa nguvu zetu zote ili Nduli Idd Amin Mama amuachie maana wote tunajua Mhe. Lissu sio muhaini.
Mhe. Lissu yupo jela hawezi kujipigania lakin sisi ambao tupo uraian, hili ni jukumu na tukiunganisha nguvu zetu kama tulivofanya kwenye #Mo29 lazima watatema ndoano.
#FreeTunduLissu