@Joekasley@godbless_lema Ni chupi inayofichwa na nguo nyingine ndio maana hata ikichafu unaifua au unatupa hatujajua ubongo wako ukija kuja kuwa peupe sijui tutaona nini lakin mungu akusaidie upate haraka unachotaka serikalin na cc wengine tutulie na njaa zetu maana unakera sana namkubuka tundu lissu b
@TZMsemajiMkuu@MagufuliJP Ngoja niulize kutoka kwa nyerere kulikuwa na mashirika mangapi na leo yako mangapi ukipata jibu utwambie kwa nini TTCL inafukuza watu kazini kwao na mengine kwa nimi yanapunguza watu kimya kima halafubunalipwa kwa uongouongo hivyo hivyo.
@Calvinofficia@millardayo Kila kitabu cha dini kina mandiko ya kila aina cc sasa ndio tatizo ukiona mtu unaanzisha jambo bila kupata ushauli basi hata jambo lingekuwa zuri kiasi gani inakuwa sawa na bure , isipokuwa wanabaki wale wenye masilahi tu kupongeza hata kama kulikuwa ma kasolo
@KyetraSimmy@kipalwi@ChademaMdude Bustan za mboga mboga wakati watu binafsi wkionekana wapinzani wa ccm basi mali zao zinaharibiwa hivi wewe ni wa wapi maliamungu
@Nyiriri1 @MariaSTsehai Ila ukumbuke naye ni shoga ukweli limeongewa bungeni na yeye hajakanusha mpaka leo je na yeye mnamweka kundi gani basi la kutetea au la kushitakiwa. #Mbilinyi alisema bashite amefumuliwa malinda . na ikibidi naye akapimwe.