@ChademaTz@bunge_tz @tundulissutz @bbcswahili@VOASwahili@dwnews@MwananchiNews@azamtvtz swaaafi.. .lazima tuwakomeshe hawa,badala kushughulikia matatizo ya watanzania wanyonge masikini,wanakalia fitina zisizo na kichwa wala miguu,wakati jamii imejaa matatizo kibao,yasiyotarajiwa kupatiwa ufumbuzi Leo wala kesho....wamepata kichwa,baada ya kupitisha bajeti yao feki!
@YerickoNyerere mashetani hawa,duh!...hawana hofu hata ya MUNGU jamani?..ama kweli sisi ni manyani kweli!.... wamefikiria na kuona AIBU,watampokeaje mjengoni?....duh!...ngozi nyeusi...kiboko aisee!..ndio sababu hatuishiwi mabalaa kila kukicha....""MUNGU hadhihakiwi jamani...shauri yao""
@HenryKilewo@halimamdee@MwananchiNews Mmmh!...yaani wenzetu wana hila sana,kwani sio mbunge?...ingekuwa INA jina LA Nassari,tungemwelewa...saaana wanatunyima wanyonge haki zetu za kimsingi...Mungu anawaona..
Chonde chonde mheahimiwa RAIS wa wanyonge....MAMA zetu wanateseka MNO na kubughudhiwa...naomba fuatilia kwa ukaribu hili...utagundua ukweli wa malalamiko hata.. Yanayopelekea kukunyima kura na chama chako..2020....asante.. Nimewawakilisha...INAUMA kweli kweli... na SIO HAKI..
Nalaza sauti na kuleta kilio chao kwako kwa niaba,maana najua watendaji wako ndio wanafanya wanyonge wakuchukie,kumbe ni UNAFIKI wao,UOGA na UCHU wa madaraka walionao,UNAOPELEKEA kunyanyasa wanyonge OVYO,bila sababu ILI wakufurahishe,UWAONE wachapakazi wakati,wanatetea matumbo tu
Kulikoni kusambaza kwa watendaji wa vijiji vitambulisho na kuanza kuwatafuta,kuwatishia na kuwalazimisha wavuja jasho wa AINA niliokutajia mwanzoni na kuwalazimisha wanunue,watapata wapi jamani hiyo pesa?...isitoshe wenyewe SIO wafanyabiashara..BALI ni waganga njaa tu jamani...
bure,kumbe RAIS wetu hukuwaagiza ivo..yaani tunasikia uchungu saana mheshimiwa tunaposhuhudia unyanyasaji wa kiasi hiki kwa Mama zetu,ndugu jamaa na hata marafiki zetu,wakati tunajua hukuwaagiza ivo....kama vitambulisho vinabaki,si wakurudishie tu jamani....na wajieleze...kulikon
ya sukari,kweli jamani...ndio kauli yako unaviwataka watendaji wako watunyanyasie mama zetu wanyonge masikini?...yaani wanakosa kabisaaa au wamemaliza wahusika wa kuwapa...sasa wanaingilia wanyonge wengine maskini wasiokuwa na nyuma wala mbele,,,na kusababisha wananchi wakuchukie
Angalau wajipatie riziki ya siku moja,wanaambiwa wawe na kitambulisho....mfano..ukienda MOROGORO labda..kwenye mashine za kukobolea mpunga,ukute wakina mama wanaopepeta mpunga pale..eti wakate vitambulisho kila mmoja,SWALI...hela yenyewe wanayopata haitoshi hata nusu kilo
RAIS JPM,ivi kuhusu vitambulisho ulivotoa na kuwapa dead line hao ma RC na DC's uliowateua,mbona hatuelewi,wanawaambia hadi mabwana afya,wanapoenda kukagua eti,baadhi ya viwanda vya wajasiriamali...na kukuta walau wabangaizaji wanatafuta kibarua mfano hata cha kupepeta alizeti..
@HecheJohn Nashangaa kama UNYAMA wao ungefanikiwa,rambirambi wangetoa??ndilo swali najiuliza....YAANI NI ZAIDI YA CHUKI JAmANI....YAANI kuumiza vichwa kutunga mbinu na mikakati ya kukandamiza wengine....kweli?....NA WENYEWE?......warudishe STAHIKI zake....maana HAKI kapewa na wananchi...
Kama sijasikia vizuri...ETI...ushauri WA kununua...MAPIPA...ulipatikana kutoka kwa swahiba WA KIGALI?...basi Nilitegemea angewezeshwa pia...kwa utekelezaji...kulikoni kutuingiza kwenye UMASIKINI huu,ambao hatujawahi kuupata tangu UHURU..
@Mheremwita89 @HecheJohn @tundulissutz duh!...wamefanikiwa kamanda,maana deni LA taifa limekuwa kubwa,hadi wamebuni mradi wa vitambulisho kwa wajasiriamali...hata wauza togwa..