@DadaConso Nimekumbuka back in 2017 mujibu wa sheria MAKUTUPORA Dom pale, alfajiri kama saa 11 hivi tupo Mabio. Kuna wahuni 2 wakachepuka wakaingia chaka wadoji ili wadandie bogi wakati wa kurud, walikutana na bonge la joka wakarudi spidi ile wanatokeza road tu afande huyu hapa, oyaa😂