@fgdewji Nilitamani nirithi biashara ya mama yangu ya vitafunwa aina zote lakini kwa njia tofauti kuifanya ya kisasa zaidi na kuiongezea thamani.. kwa kuwa nimemsaidia kufanya shughuli hiyo takribani miaka 15. Ila nimeshindwa kwa ajili ya changamoto za kiafya.
Nami ni wakala wa huduma za kifedha , baada ya kukosa ajira rasmi nimeamua kupambana kutafuta mtaji mpka nikafungua ofisi yangu lakini bado nachechemea ntashukuru ukinipatia hiyo fursa #MoGifts2022
#MoGifts2022 Every month, I will donate TZS 1 million (or more) in in-kind goods/services to charitable causes & initiatives in need. The top cause with the highest retweets each month will win!
Deadline: 7 days from today. I will only support REAL projects.
@esteramosbulaya Kuna jamii ya kina mama unaisahau andaa hata mashindano yanayowahusu wanawake . Vijana inatosha.
Hata mashindano ya mapishi itapendeza
@MakonLizzie Nawashangaa sana wanaume wanaoshadadia wanadhani kila single mama ameyataka mwenyewe yani wao huwa wanajitoa kabisaa et mnajifanya wajuaji ndio maana tunawaacha... ๐ฎ๐ฎ