Ujue ukweli na uwongo juu ya uamuzi wa Bunge la Ulaya kwa Tanzania. Vyombo ya habari uchwara na media za akina Maria, wanasambaza uwongo kuzua taharuki na kueneza chuki. Hii isambae ndugu zangu iende mbali zaidi Watanzania wajue ukweli..
Recently, Tanzanian Ephrahim Bahemu wrote an article titled What Tanzania Can Learn From China's Xihaigu Transformation in Citizen. Xihaigu was once defined by the UN World Food Programme as one of the most unsuitable areas for human survival. Through ecological reconstruction and poverty alleviation, it has now become a demonstration site for modern ecological agriculture. Bahemu said, for Tanzania, Xihaigu's experience offers lessons on how policy choices, investment and implementation can support economic development.
Full text: https://t.co/Wfps7anDYf
Chadema wanawasikiliza sana wanaharakati hawa kisa wanaishi nje ya nchi. Wote hawa wamefeli maisha mapema sana, walifanya maamuzi ya kijinga wakiwa vijana, wametembea uchi sana na kugongwa sana, mwisho wameishia kuwa masikini hivyo wamekimbilia harakati kama Backup plan.
Naona wanaharakati wa kibiashara waliokuwa ambao walijaribu kujinufaisha kutokana na habari za uongo dhidi ya Tanzania hivi sasa wanaugulia maumivu makali sana,tuliwaambia Maridhiano, mazungumzo na ushirikishwaji ndio suluhisho pekee la kupata vitu ambavyo mnavidai kama katiba moya na mengineyo.
Foreign aid can support development, but sustainable progress comes from domestic revenues, private investment, and productive sectors. Tanzania's continued growth despite past aid suspensions proves that point clearly.
A Parliament resolution is a political signal, not a verdict. On Tanzania, it asked the Commission to revise its funding plan — it didn't cancel anything itself. The decision still runs through the Commission and Council. Let the process play out.
The EP resolution on Tanzania reflects real concern, but it's non-binding. What happens next depends on the Commission's response and ongoing EU–Tanzania consultation. Declaring a final rupture now gets ahead of the actual process.
A Parliament resolution is a political signal, not a verdict. On Tanzania, it asked the Commission to revise its funding plan — it didn't cancel anything itself. The decision still runs through the Commission and Council. Let the process play out.
Wakikaa kwenye vijiwe vyao vya Mbege wanadanganyana kwamba Chadema ni imani.
Jana 18/06/2026 John Mnyika alidhalilika katika Uwanja wa Maulidi Jimbo la Nachingwea😂.
Chama kimeshapoteza mvuto wananchi hawana muda nacho tena. Msajili akifute tu kwakweli maana hivi ni vichekesho
It is interesting how Western publications quickly spotlight alleged democratic shortcomings in African countries while often overlooking similar concerns among their strategic allies. @TheEconomist
UPDATE: Dodoma’s Msalato International Airport is rapidly becoming a reality.
The mega-project has successfully reached 84% completion for ground infrastructure (runways and security) and 70% for the main terminal buildings.