Nadhani uamuzi aliochukua mh @godbless_lema ni uamuzi sahihi kabisa kukoa maisha yake. Maisha yetu yako hatarini sana kwa kosa la kupigania demokrasia.siasa zimegeuka kuwa vita. Watu wanawindwa kama wanyama kwenye nchi yao.
@kigogo2014 NI MPUMBAVU PEKEE ANAYETAKA AKUBALIKE KWA WATU WOTE MILIONI 50.
MWENYEZI MUNGU AMEWAUMBA BINADAMU NA KUWANEEMEAHA NEEMA TELE, LAKINI WAPO WASIOMKUBALI. SEMBUSE MAGUFULI???
WHAT A PITY?
Meko ni mgonjwa wa akili kabisa! Yaani unawinda watu wanaokukosoa mitandaoni!? Mbona MATAGA wanakusifia sana. Shida iko wapi? Si tumegawana majukumu au?
Majira ya saa 5.00 usiku huu kama alivyotabidi Daktari wake kwamba operesheni yake itachukua 7 hours kuunga nyufa 11 mwilini mwake. Alhamdulillah upasuaji umekwenda vizuri ametoka Theater salama.
Pretty clear reality from this race: a far left progressive candidate would have lost to Trump, and Biden would have lost without the progressive wing of the party turning out in huge numbers.
Hope both wings of the party recognize this and plan accordingly.
Inshallah.
There is a confidence in American Democracy and in its institutions that is truly enviable.
A democracy that permits the incumbent to remain in power for 74 days with access to the nuclear button and executive orders before power transitions to president elect has SWAGGER! 👏👏