Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano kumuuza winga Pape Ousmane Sakho kwenda klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kwa ada ya uhamisho ambayo haijawekwa wazi
Kupitia taarifa yake kwa umma, Uongozi wa klabu ya Simba umemtakia kila la kheri Sakho (26) raia wa Senegal kwenye timu yake hiyo mpya.
Kwa sasa Sakho tayari ametua Nchini Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake kwenda Quevilly inayoshiriki Ligi daraja la pili Nchini Ufaransa (Ligue 2)
#KitengeSports
Mastaa 5 wanaoongoza kuwa wasiri sana kwenye mahusiano yao ya kimapenzi
1. OMMY DIMPOZ
huyu kwa miaka yote hakuna mtu anajua mwanamke wake ni nani au ana familia .....
Ambao bado hamjaja kupendeza, mambo ni kama haya apaaa...Toka uvungu wa macho na moyo wangu hizi Fabrics ni 💋💥🎀#Bei 35000, Size 6 Yards, Mikoa yote Tanzania#
Karibuni Sana🙏🙏🙏
Muonekano Wangu Wa kiAfrica Utakuliwaza🤩🥰😄👌# MyAfricanLook MyConfidence# Bei yetu nafuu kwa products original# Vitenge kuanzia 35000/= Handbags kuanzia 30000/=