Demokrasia ya kweli haipimwi kwa namna serikali inavyowatendea watu wanaoiunga mkono, bali kwa namna inavyowatendea wale wanaoikosoa. Ukandamizaji wa kisiasa unaweza kuonekana kama njia ya kulinda usalama wa taifa kwa muda mfupi, lakini ukizalisha kukata tamaa na kutokuamini taasisi, unaweza kuwa unatengeneza hatari kubwa zaidi kwa taifa lenyewe.
That is dangerous.
Nimewakosoa kuhusu # yenu ya katiba jana mnahangaika na mimi tena kwa upuuzi upuuzi mpaka leo,mngekuwa na madaraka nyie si ningekuwa jela sahivi??eti harakati,harakati za matumbo.Harakati zina mshahara?Fanyeni kazi yenu kwa weredi mkiendelea hivi watu wanazidi kusanuka ni mchongo
@rollymsouth Hapo ndio kuna mashaka sana.
Kwnn wanapenda kusikia yale wanayoyapenda tu.
Ukisema tofauti umelipwa
Unatafuta teuzi blaa blaa
Mda mwingine kila mtu yupo huru kuwaza tofauti na wengine
Acheni kujifanya mnauchungu sana na nchi kumbe waongo tu
Suala la upokeaji maoni bado limekuwa ni tatizo,tumekuwa tukiwaita watu madikteta kwa kukataa kupokea maoni ya watu wengine lakini sisi tunajiona ni sahihi tunapotengeneza mazingira ya kutaka kusikia kinachotufuraisha tu.Akitokea mtu mwenye maoni tofauti inakuwa vita,nini tofauti
Ili kuleta mabadiliko; “Unganisheni nguvu zenu muweze kuunganisha nguvu ya umaa,” ni kauli ya Bobi Wine (mpinzani mkuu Uganda) aliyoitoa katika mkutano wa CSL leo Arusha ambao umehudhuriwa na CDM, ACT, NCCR, Kenya, Uganda, Sudan, Shura ya Maimamu (T) na Kanisa Ask. Bagonza.
@IAMartin_@FidQ FidQ anajua sana! FidQ ni mgumu kupandisha hasira! Nilivutiwa sana alipompa ushindi Wakazi! Wakazi alisema kuwa wimbo wa torati ya mitaa kamfunika! Fid akampa tano kumaanisha kukubali though wananchi twajua! Fid ni Rastafarian!
@IAMartin_@Wakazi@FidQ Farid kaka yangu wewe ni mtu heshima yako kubwa sana unapata tabu kujibizana na watu Ambao mimi binafsi nimeanza kuwajua kama wanaimba baada ya hili swala la shirikisho nyamaza farid ninacho amini wewe ni mkubwa kuliko elimu yake…🦻
Farid kaka yangu wewe ni mtu heshima yako kubwa sana unapata tabu kujibizana na watu Ambao mimi binafsi nimeanza kuwajua kama wanaimba baada ya hili swala la shirikisho nyamaza farid ninacho amini wewe ni mkubwa kuliko elimu yake…🦻
@IAMartin_@Wakazi Kama ulifuatilia vizuri ule mkutano.. kulikua na oya oya nyingi, sasa kama hauna kifua cha kujizuia unaweza kuzichapa na mtu au kujikuta unasema chochote ilimradi kushinda battle tu
Wakati wa kampeni za uchaguzi, mnamtaka awe kiongozi wenu kwa kuwa ana uwezo wa kuongea na wakubwa na koneksheni… ameteuliwa kuwa msemaji wenu wanamuziki wote, hamtaki na mnasema hafai, hatoshi na hana weledi. Kwenye kampeni weledi anatoa wapi? Tivu Akee eeh, kanyaga twende!
Siku 9 kufikia Mkutano wa Kitaifa wa @TCDemokrasia wa Haki,Amani na Maridhiano. Tunawashukuru wadau wote wanaoendelea kuthibitisha ushiriki wao kwa kasi kubwa. Hakika mazungumzo ni njia ya uhakika zaidi ya kufikia maridhiano. Jitihada zinafanyika kuwezesha ushiriki jumuifu
Thank you Dar es Salaam. ACT Wazalendo ni mpango wa Mungu sio chama kingine chenye chuki dhidi ya ACT kutwa kucha kutukana.
Sasa ni hivi safari imeanza ya mapambano mapya ya kusaka #TumeHuruYaUchaguzi na #KatibaMpya . Endeleeni kutukana mtatukuta njiani tunasonga 🌍
Hili ni Balaaa la Dar es Salaam. Kuna chama kinajiita cha upinzani chenye kazi ya kupandikiza chuki.
Adui yetu mkubwa ni CCM. Will defeat CCM .. Chadema endeleeni kutukana tu.
Usipoongoza Utaongozwa
BASATA walivyosikia ‘mapopo’ ya miezi 10 iliyopita akiwa na Nhlonipho, wakajua Damian Soul ni msanii mpya ndiyo katoka hivyo? Anyways, BASATA, watafuteni watu wenye kuujua muziki, washughulike na muziki. Tuzo zenu zitakosa uhalali kama kuna makosa madogo ya awali kama hivi.