@lifeofmshaba Tatizo Kuna mmja yupo Barbara kuu mwingine yupo barabar ndogo anataka kuingia Barbara kuu ilipaswa ahangalie kushoto na kulia kama salama ndo avuke lakini yeye akuhangalia usalam wa watu waliopo njia kuu
@iamcleopatricia Mkoa ni dar es salaam tyu Ila Kuna mikoa ya kiserikali ndo temeke ilala na kigamboni mikoa ya kiserikali au kipolisi ndo maan kila wilaya Kuna rpc wa mkoa km temek ilal kigmbon wakat tumezoea kuona mkoa mmja nd una rpc kwaiy ni mikoa ya kiserikali