UPENDO NA CHEMCHEM ZINAMEA.
Viongozi wetu wamegeuzwa Antena/
Ya kunasa kila kitu Marekani akisema/
Vyema,sera wanatunga kuongeza makabwela/
Wao wananemeka na jasho letu masela/
๐จ๐จ#ATTENTION#ATTENTION ๐จ ๐จ
MUDA WOWOTE KUANZIA LEO NITATAMBULISHA NA KUACHIA WIMBO WANGU MPYA!!
#MIMI_NI_NANI!!!???
#NB
Kama Una Roho Nyepesi Sikushauri Uusikilize Huu Wimbo!!
Narudia Tena, Kama Hauna Moyo Wa Kijasiri, Please Donโt Try To Press Playโผ๏ธ
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
*WIMBO UNAOISHI*
*NANI HAJUI???*
Nani hajui,waliosaini mikataba/
Mibovu ya taifa kwa mvinyo wa kahaba/
Wao walipata hisa nchi ikakosa mrahaba/
Wanalamba sasa asali jamii huduma ni haba/
*Gusa Link kapate madini haya*
๐๐
https://t.co/9vw7FO2Ii7
#Subscribe