@CodeMetalai@pastajoshuatz naamini hakundika Mungu ila ni maneno ya Mungu na muongozo wa mwanadamu katika maisha yake hapa duniani na hio kesho yetu
Tunatakiwa tusiishi kienyeji mzee tumeumbwa sisu hatuja jiumba.
@Innocen89950594@pastajoshuatz Dini si usenge kama unavyosema Dini ni Mwongozo wa Binadamu hapa Duniani, ili kuitengeneza kesho yake karibu ujifunze usitukane Dini.