@kigogo2014 Kigogo umechina,unaonyeshwa kuwa wewe ni kittoto tu,aibu yenu,mnajitahidi Sasa kuonyesha hamuoni aibu,kwa kweli mmeaibika vya kutosha,tuacheni sisi tumuenzi SHUJAA wetu
@BuritoChief Watumishi wa Mungu,watashughulikiwa na Mungu mwenyewe,na wao ndio watakaotoa hesabu,kila mtu ana madhambi yake yanayimuuzi Mungu,so usijihesabie upo salama kwa kuwasema Watumishi wa Mungu.