Hii idea ilinijia kichwani kutokana na logo halisi ya Katarama Luxury (Swala) Nikajaribu kuhusianisha logo, mazingira (mbuga) na bus lenyewe. Kwa hiyo bus nkalipeleka mbugani Mikumi pale kuna utajiri wa Swala. Na haya ndo matokeo ya ubunifu huu
#GraphicsZaMabasi#CanmasterDesigns