Umoja wa Taasisi nne za dini nchini (TIP) ikishirikiana na wadau mbalimbali imewatumia wanawake wenye ushawishi kutokomeza ukatili wa kingono kwa watoto kupitia mradi wa Boresha unaotekelezwa kwenye halmashauri ya Buchosa iliyopo katika wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza.
Talk to your partners and friends about knowing your status and getting tested. Knowing your HIV status helps you choose options to stay healthy. HIV testing is free, fast, and confidential. The only way to know for sure whether you have HIV is to get tested.
Kikao kazi hicho kilifanyika kwa siku mbili tarehe 11 na 12 Agosti 2020 katika Hotel ya Fantansy Village, Msalato Dodoma.
Kikao hicho kiliandaliwa na @TipInterfaith
Katika kuunga mkono juhudi za serikali na maelekezo ya Wizara ya Afya, baaadhi ya viongozi na wawakilishi wa Taasisi kubwa za dini walikutana katika kikao kazi cha kupitia na kuboresha ujumbe sahihi juu ya magonjwa ya mlipuko (ikiwemo Korona na Ebola).
Mwenyekiti wa TIP Mchungaji Canon Moses Matonya akitoa nasaha kwa Washiriki wa Kikosi kazi cha kupitia na kuboresha maudhui ya kupiga vita ukatili wa kijinsia na watoto kupitia vyombo vya habari leo tarehe 13.08.2020 mjini #Dodoma
Lessons from HIV for an effective, community-led response to #COVID19.
1. Communities are central
2. No stigma and discrimination
3. Support the most vulnerable
4. Remove barriers to action
5. No criminal sanctions
6. International cooperation
7. Be kind
"In many parts of the world, #COVID19 is colliding with the ongoing HIV epidemic. As the latest UNAIDS report shows, the HIV epidemic remains enormous, unfinished business,” says @UN Secretary-General @antonioguterres.
“Harassment does not have to be of a sexual nature, however, and can include offensive remarks about a person’s sex. For example, it is illegal to harass a woman by making offensive comments about women in general.
#GBV#genderequality#genderbasedviolence#sexualviolence
A core principle of the 17 @SDGoals, and of the AIDS response, is that no one should be left behind. The AIDS epidemic cannot be ended without the needs of people living with and affected by HIV, and the determinants of health and vulnerability, being addressed.
Afisa Tathmini na Ufuatiliaji wa Mradi wa Boresha unaotekelezwa na Shirika la Tanzania Interfaith Partnership wilaya ya Kwimba, Ndugu Respectson Akyoo akitoa mawaidha kwa wanakikundi katika moja ya vikundi rika kilichopo katika Msikiti wa Ngudu wilayani Kwimba.