"Tunataka kuona chadema halisi wakati wa mambo magumu, Wakati watu wanapigwa risasi usimame unasema Niko tayari kuitetea chadema niende kaburini lakini msimamo wangu nisiuyumbishwe hapo ndio tutakupima Wewe ndio mwanachadema halisi".
Nukuu kutoka kwa;- Mhe. @HecheJohn
@MsigwaGerson kama ambavyo umekuwa Mahiri kutuletea habari za watu waliotumbuliwa tunaomba official statement kuhusu hii kauli inayonukuliwa na vyombo vya habari kwamba tulipewa masharti na #WorldBank ikiwemo elimu kwa msichana bila kujali yuko katika hali gani ili tupate mkopo..
Swala la #Lissu tuliambiwa uwezo upo,swala la #Ben,swala la #Aquilina, swala la #Azory swala la Mwenyekiti wa halmashauri ya #Kakonko..kaka yangu #Suguta aliuliwa na polisi #Tarime polisi ameachiliwa huru,Vyombo vyetu havijawahi kutoa majibu ya haya mambo na sasa #MO@zittokabwe
63 hours have passed..We need everybody's loud, relentless and fearless voice for #MoDewji....show solidarity to #MO Tuachane na Mambo ya kupost na kuweka pics zetu just for a day tuungane pamoja na hii hashtag #BringBackMO#BringBackMO@MariaSTsehai@zittokabwe#Come On U all
Ndugu yangu na kaka yangu "James Ole Millya" Nakumbuka uliwahi kuniambia mambo haya lilipoanza vugu vugu la watu wanaohama..."Never change what you want most in your life for what you desire at the moment because time passes but life goes on..."@HecheJohn@MariaSTsehai
Fanya kazi kwa kuheshimu watu kama una kipaji cha uongozi watu wataona haya ya kota za FFU yanamsaidia nini mwananchi hata ungezaliwa ulaya???Na hakuna adui watu wote ni watanzania muogopeni Mungu nyie watu..juzi niliona unamfukuza mzee mmoja kwenye mkutano wako bila hata heshima
Profesa ni mtu ambaye ni "universal recognised" kwa maana kwamba anaweza kuona mbali na ambacho mtu mwingine asingeweza kuona au kufikiria haya ya huyu Prof yanadhihirisha hata mtu aliyeishia la saba ana uwezo wa kuchambua mambo kwenye hii awamu kuliko anayeitwa prof #shame
"Diwani wa #CCM na Diwani wa #UPINZANI posho yao ni ile ile,vikao vyao ni vile vile Mtu mmempa #UDIWANI anatoka anaenda #CCM Anaomba tena #udiwani huyu lazima ni #JUHA ni mwehu" @zittokabwe well said Bro 🙏🙏.
Yanayotokea #Tarime yanasikitisha kuufuta Mkutano ambao upo kisheria kwenye Ratiba ya #Tume ni uthibitisho Mwingine kwamba #Jeshi la polisi linatumika vibaya..kuwafuata watu ambao mpaka makwao ambao wameamua kwa hiari kuondoka kwenye Mkutano..Why 🇹🇿 Tanzania??@HecheJohn
Intimidation inayofanyika #Tarime inafanyika kwa ajili ya Mambo mawili 1..aidha kuwatisha wananchi wasijitokeze kupiga kura tarehe 12 au 2..kuandaa mazingira ya kumtangaza mgombea wa #Ccm kwa Nguvu tarehe 12 @zittokabwe@HecheJohn
Huu unafiki mnaofanya Braza damu za Watanzania zinazomwagika chini kama maji ipo siku Mungu atalipa kwenye hii dunia huwa mnaona kama Mungu yupo mbali ila WATZ wamenyanyasika watu wanaumizwa alafu kibaya zaidi mnakuja kujipongeza ilihali mnajua watanzania wana hasira sana na nyie
@zittokabwe@zittokabwe Nchi yetu imekuwa mbaya sana hapa Tarime Diwani wa Chadema ameshinda Mtendaji amekuja akiwa na escot ya police defender 2 amemtangaza wa CCM na amepewa escot kuondoka pia sijawahi kuona hii.
“Polisi Msiiogope #CCM mkaisaidia kubaki madarakani,Kwenu ninyi hata #CCM ikitoka madarakani nyie mtaendelea kutoa huduma yenu kwa Wananchi maana nyie ni Watumishi wa UMMA na utumishi wenu hata mkataba wa ajila hausemi kwamba utakoma pale #Ccm itakopotoka madarakani”Elia Michael.