@millardayo Kiufundi Simba haitaathirika sana kwa sababu Mwalimu hakuwa tegemeo sana kwa sababu namba yake imepata striker Doumbia na katika nyakati za dharura Coach anaweza kumtumia False 9 kama alivyokuwa akimwanzisha Mpanzu huku Mwalimu akisubiri.
@millardayo Mie nawapongeza viongozi wa Simba kwa kumwacha huyo msaliti aondoke. Maana watu kama hao ndio wanaotumika kuuza mechi na kuvujisha siri nyingine muhimu za club.
@millardayo Waambie hao mashabiki wapeleke upumbavu wao huko. Maisha kwa ujumla wake anaendeshwa kwa imani. Viongozi wa Simba walipatana na Mwalimu kuwa anakuja kucheza Simba wakamwamini na kutangaza. Kama Mwalimu kavunja uaminifu ni kosa lake mwenyewe.
@millardayo Ukweli ni kwamba Yanga ni mbovu. Imebebwa na marefa kwa uwazi na ushahidi upo wa kutosha. Kwa upande mwingine bahasha na mambo mengine ya nje ya uwanja yameplay part pakubwa.
@EduTalkTz Chuki ni kitu hatari sana, unapofusha na kupumbaza. Unaweza kuzungumzia suala la viongozi wa BAWACHA kutangaza kumuunga mkono Mbowe, lakini huwezi kuzungumzia viongozi wa BAVICHA kutangaza kumuunga mkono Lissu.
@HeradiKj @YerickoNyerereT Heshimu demokrasia na utu. Kumkejeli mtu baada ya kushindwa kwa mgombea aliyemuunga mkono katika uchaguzi, siyo sawa, siyo uungwana.