@Kishimba_Jr@FKihamu Slow ndio mpira wao wameamua no kukimbizana na kwakua Wana players wengi wakubwa pale Kati kama wakitulia hii itawaisaidia kupunguza Kasi ya mpinzan atakaekuja na team yenye kasi
@Lyakale_@Sativa255 Asipofunga mnashindanisha akifunga. Mnaleta maelezo marefu mara hatuwashundanishi mara HV mara that maelezo hatupokei SBB haya maelezo yako yanaonesha jinsi ulivokua mweupe kichwan
@Dr_Thadeus_19@PresenterNoah@CFCSam_X Umekua obsessed na Ronaldo mpk unatia aibu Jana ureno WA create chance ngap mpk tisin zinaisha team ina KAZI ya kupiga pas Tu lkn kutengeneza nafas hawawez ww umekazana kumlaum ronaldo
@Mm25860@factzonep@godbless_lema Yule JBL mstaaafu aliesema amekosa Sana asamehewe aliejiuzulu nafas Yake ikabebwa ya Yule WA mbeya (japo now JBL katangulia mbele za Haki by now)
@HashtagSD_@EsirEid Sawa hatukatai hamuishi kwenye historia ila kombe lenu la uefa likwpi hatupokei maelezo tunataka kikombe EPL hata Sisi tunazo hata Blackburn rovers anayo Sisi tunakuuliza uefa ikwapi๐