@George_Ambangil@HKFinalThird Kaka nazani umeona mjadala kuhusu Pau Cubarsi kuwa na carrier bora kuliko Rio Ferdinand,VVD,na wengine......tupe maoni yako kaka
@INFLUENCERjr Hapa akili ya soka ipo sio kama beki za zamani nguvu nyingi akili dogo....janja anacheza beki kama vile kiungo pass nyingi anakaba kwa akili ya hali ya juu sanaa
@George_Ambangil Hakuna mashabiki malaya Dunia kama mashabiki wa ureno na Ronaldo maaana wamegawa sana utamu aisee mpaka leo wanapata pakukimbilia halafu wanakataliwa
@MsigwaGerson Msigwa kila taarifa inayotoka kuihusu serikali anasema WAMESIKILIZA UPANDE MMOJA inamaanisha wanapewanga nafasi lakini wanazingua wao kingine mbna taarifa zao wao hatusikilizagi wananchi kama walivyoelewana kumpitisha mama bila idhini yetu wananchi mbna ss hatujalalamika
@jkbtetes107@Roma_Mkatoliki Maandamano pekee ambayo yatakuwa na raia ni ya CHADEMA kudai katiba mpya na lissu aachiwe huru ndo raia tutakuwepo ila haya ya kina Mange na wengine ambao hawapo nchini raia huwez waona kaka
@ChademaTZ2@TunduALissu Bado sielewi kwann kesi inapigwa tarehe tu ila naona kabsa Lissu anawenza kaa ndani mpaka Samia atapomaliza awamu yake hii coz wanaogopa akitoka hawatapumua
@Sativa255 Wazee wa vifungu mtusaidie hapa...hii kesi kuna uchunguzi unafanyika ili maamuzi ya mwisho yatolewe au kuna nn kinachokwamisha mtuhumiwa wa uhaini kufungwa au kuachiwa huru maaan tarehe zimekuwa nyingu sana kama vile majaji hawajui vifungu