Wasichana wanaoolewa katika umri huu mara nyingi wanakabiliwa na unyanyasaji wa majumbani sambamba na kutengwa na jamii huku wakipewa nafasi ndogo kwa ajili ya elimu na ajira.
Tamaduni kandamizi hazifai
#zuiaukatilikwawatoto@TIPOfficial__@agpahi@NuruNathanael@Peit2552
Ukitaka kufanikisha jambo lako zuri,silazima ulitangulie mbele au uliwasilishe mwenyewe.Wakati mwingine ww mwenyewe naule ukakasi watu walionao juu yako ndio kikwazo kwa wazo lakozuri au jambo lakojema kutofanikiwa.Ikibidi tumia watu wengine kufanikisha jambo lako! @tonytogolani
Mstari kati ya maisha ya mtandaoni na maisha nje ya mtandao si mnyoofu tena na unazidi kufutika siku hadi siku. Kabla hujamnanga mtu humu mtandaoni, jiridhishe kuwa njia zako za maisha nje ya mtandao hazitakukutanisha nae mahala ambapo hatma yako itakuwa mkononi mwake. Tafakari!
Wanawake na wadada Saratani ya kizazi imekuwa ikisumbua wanawake wengi Sana hasa katika Nchi yetu.Inatupasa tujenge mazoea ya kupima Afya zetu na kupata Matibabu Kwa muda.
#TanzaniaInterfaithpartnership