@PeterBinxete @Kudu_ze_Kudu Nimekuelewa chief lakini only kwenye emergencies. Ila ukimzoesha mtu kupata ushauri kwenye simu na yeye anamtuma rafiki yake inakuwa ndio utaratibu.
@DeoKapongo@MandariSadiki@Kudu_ze_Kudu Afya ni kitu expensive sana na ili ukipate kilicho bora ni lazima ukubaliane na gharama. No wonder hawaitwi wagonjwa tena bali ni wateja wa huda za afya.
Najua wengi hampendi, lakini mtandaoni sio hospitali.
Mtumishi wa afya anayekwambia, "nenda hospitali", anakujali sana kuliko atakayekutajia dawa.
Hospitali kuna umuhimu wake, huwezi tibiwa online.
Halafu, hizo ni services za malipo.