@himovici000 @Sativa255@MTOTOWAK Kwahiyo wakiwepo hao ndo utaelewa kuwa Rais samia kaua watanzania, Rais samia ni mtekaji, Rais samia kaziia katiba mpya n.k.
Au unataka hao uliowataja waje tanzania ili muwaue.
AKILI ZETU SIO NDOGO KAMA ZENU.
@iam_miss01 Kwani Mange kasemaje, na je unasemaje kuhusu huja zake .... Hiyo habari ya yeye anakaa marekani na familia yake, achana nayo. Tupe hoja. I STAND WITH MANGE
@TheRealEkiswaga Your stupidity can't be hidden. This post means that those illegitimate MPs remain silent because they avoid getting dirty; they've left it to Samia. You have proven that Samia has killed many people. Those MPs don't want to engage in the dirty game she plays.
@YerickoNyerereT Nilipoona tu unamshauri mtu kurudi toka nje, nikasema nichungulie account yake huenda ni mpinga udhalimu wenu na ccm, so huenda unamshauri ili akirudi atekwe. Na kweli ndicho nilichogundua
Hivi baraza la maaskofu Tanzania, yawezekanaje kutoa matamko machache hivi kwa hii nchi ambayo @SuluhuSamia amafanya madudu mengi kiasi hiki. Yaani matamko 8 tu.
Mwalimu Nyerere alituruhusu kumweleza ukweli MPUMBAVU hata kama ni mzee kwa sababu UPUMBAVU ni sifa kama urefu na ufupi.
So, nitumie fursa hii kusema huyu mzee ni MPUMBAVU!!