@munyamambogo Sikuzote mtu anaefanya kazi yake kwa uaminifu na maadili kwa kufuata misingi hapendwi na watu ๐ kwa mfano traffic kukupiga fine kwa sababu ya tyres sijui overspeed chombo kibovu n.k ni katika kujali usalama wako na wa watumiaji wengine wa barabara lakini sisi tunaona wanoko!
@MarekaMalili Mimi nimeelewa kwamba alikua na mitaji ya watu aliokusanya ndo inafika iyo 1.7B hazikuwa zake zote yeye alikua anapata faida ya dola 70k mpka 80k akiwa tayari ameshawalipa watu wote 50% ya walichoinvest per month