@CatherineRuge#Simba_jike pole sanaaaa!
Endeleza harakati usije ukawa kama wenzake!
Utu ni bora kuliko mali/pesa!
Jitahid San kwenye maisha haya kulinda heshima uliyoijenga kwa gharama kubwa!
@jr_twaah@yangasc1935@SimbaSCTanzania Mwenyezi Mungu akulinde siku zote za maisha yako ya hapa duniani hakika wewe ni #Mzalendo kweli kweli...
Pengine hiyo best wishes ndiyo iliyoleta matokeo mazuri!
Keep it up....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mshana_salim@Tanfootball@SimbaSCTanzania Tutawapongeza wakishinda ugenini....
Unafikiri kushinda ugenini ni kazi rahisi?
As Vita na Al Ahly walitufunga jumla ya magoli kumi ugenini,
Jiulize walivyoenda ugenini,
Kimojaaaaa chali....
#Utopolo_mna_kazi_Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi pengine ulikuwa Mwalimu wa Darasa la tatu "B" na gafla ukapa uteuzi na unatakiwa kuapishwa Ikulu siku ya pili yake!
Hivi utapanda kwenye magari ya Abiria au?
Nalitafakarigi sanaaaa hili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣