@SikilizaTogolan@tonytogolani Kadiri Ulivyojaaliwa Lakini Kama Kuna Ziada Isiodhuru ni Vizuri Zaidi Kuifanya. Mfano wa Sadaka Inaongezea Juu ya Ibada Lakini Usipofanya Haipunguzi Ibada.
Leo, majeshi ya 🇺🇸 na 🇹🇿 yameungana kwa sherehe ya kufunga mazoezi ya pamoja ya Justified Accord 2025. Wakifanya mazoezi bega kwa bega, wameonyesha ujuzi wao katika operesheni za kulinda amani na uokozi, matibabu, na mafunzo ya vikosi maalum mbele ya viongozi waandamizi kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, JWTZ, na Jeshi la Taifa la Nebraska la Marekani. Pamoja, wanahakikisha mustakabali salama, imara, na wenye mafanikio zaidi.
#TukoPamoja #USinTZ #JA25
Nakubaliana Na Wewe Kaka Kuzungumza Ukweli Mbele Ya Mabwana Wakubwa Si Jambo Jepesi Tofauti Na Wengi Tunavyofikiri. Kuzungumza mbele ya kina @Medy_Nassoro@gwamaka_@jr_twaah Si Sawa Na Kuzungumza Mbele Ya CiC.
Kwenye picha ni GENERATOR la kwanza kusimikiwa Tanzania Kurasini, mwaka 1932, kuzalisha umeme kiasi cha Kilowatts 80, kwa ajili ya Dar es salaam. Kisha kuhamishiwa Arusha na baadae Bukoba. Mwaka 1967 kusimamishwa kazi yake na sasa kuwa kivutio nje ya jengo la WNM DSM. #Nishati25
@TwevePauLo Usipo amua huwezi kufanya, hata wewe nyumbani kwako, ukiwa unataka kujenga kibanda nyumban kwako una hela zako ndogo ndogo, ukisubiri hadi zijae hutajenga.
@ercurryTz Ana namba ya Nida inayonesha mwaka wa kuzaliwa kwa mujibu wa Mzungu, miadi yake anapanga kwa saa na siku za mzungu. Mwisho tumuulize sasa hivi ni saa ngapi? Tusikie majibu yake 😅