@nulphin Kwa mimi ninavyo jijua chuma kikiuzwa kama vitafunwa asubuh hiiiiiiiiiih 😂🤣😂🤣😂🤣sizani kama kuna mtu atabaki salama nami nitakuwa na historia yangu kwenye hii dunia
kahaba ndio anastahili kubakwa ?
Na alie tamka maneno aya ni RPC mwanamke ambae alitakiwa kupambana dhidi ya ukatili wa kijinsia Alio fanyiwa binti wa yombo