Ahsanteni wana Simba kwa kunialika kushiriki nanyi katika siku yenu muhimu hii leo. Hongereni kwa siku nzuri. Pongezi kwenu kwa kuendelea kutangaza utalii wa nchi yetu kwa kufikisha kibegi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Michezo inatuleta pamoja, inatupa burudani, na kudumisha amani na utulivu, lakini pia inachagiza katika kukuza uchumi wa nchi yetu.
Tumekuwa na mwamko na mafanikio makubwa katika michezo miaka ya karibuni. Mbali na Klabu ya Yanga kutinga fainali za Kombe la Shirikisho; Tembo Warriors, Kilimanjaro Queens na Serengeti Girls wametuwakilisha vyema kimataifa. Ahadi yangu ya hamasa ya kununua kila goli katika mashindano ya kimataifa itaendelea.
Mbali na Serikali kuendelea kuwekeza katika michezo, natoa wito pia kwa sekta binafsi kufanya hivyo. Nchi yetu ina mazingira mazuri ya kufanya biashara, na michezo ni moja ya eneo muhimu kiuwekezaji.
Mradi huu una hekari 15,000 na utakua na barabara ndani ya shamba yenye kilomita 94.5 pamoja na mifereji ya kusafirisha maji primary na secondary canals zenye urefu wa KM 95 .
Na makadirio ni kua mradi utakamilika ndani ya miezi 24.
🚗🔌Exciting news! We are installing the 1st electric vehicle charging station in Dodoma 🇹🇿! This is a huge milestone for our country’s climate goals, & we are proud to be leading the way towards are more sustainable future! 👊🏾💚
@EUinTZ@UNDPAfrica
I wish a prayerful and peaceful Lent to all Christians. As you mark the beginning of this season with Ash Wednesday today, may it be a reminder of our mortality, penance and the loving mercy of God. Let’s continue praying for our country, for peace and for a just world for all.