@fumbokhanJr Sanda ni jina la mtu lakn sanda nikifaa pia kwaiyo kwa jina la bwana sanda akuna kesi apo amejichanganya na wanasheria wake maelezoa al ayapo wazi kama inavyofikiria na kingine sheria n pana na inamapana yakee
@CarolNdosi@NyamaChomaFest Apo utakuwa anataka msaani mdogo mond ana midude ya maaan mario, na vany leo katoa kionjo cha ngoma kali ya latha za kikongo wambie labda wa singel