Jirani mwema ni dawa ya moyo 💙
Sehemu ya 5 inaonyesha jinsi uzoefu wa Umoja wa Ulaya (EU) 🇪🇺 unavyoweza kufungua fursa kwa vijana na wajasiriamali katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
In our final episode, we explore how it can create jobs 💼, grow businesses 📈, and open new opportunities for young people using the EU experience to reflect on the EAC.
Don’t miss the final episode of
#KidoleKimojaHakivunjiChawa with @EUinTZ and @Hilda4ya
🇪🇺 EU unaunganisha mataifa 27 kwa misingi ya Haki, Demokrasia, na Kuheshimu utofauti.
Safari hii inaangazia jinsi thamani hizi zinavyotafsiriwa katika vitendo kutoka kwa miradi ya maendeleo hadi ushirikiano wa kimataifa unaogusa maisha ya watu.
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
Je, inawezekana kuungana huku
kila mmoja akibaki na utofauti wake?
Umoja wa Ulaya unaunganisha mataifa 27, yakijenga amani, heshima na ustawi kupitia misingi ya Haki, Demokrasia, na kuheshimu utofauti.
#KidolekimojaHakivunjiChawa@EUinTZ
🤔 They say one finger can’t crush a louse — but how many does it really take?
“Kidole Kimoja Hakivunji Chawa” is a new video series that breaks down what the @EUinTZ is all about, told through real voices and stories.
Stay tuned — are you ready? 🇪🇺
#KidoleKimojaHakivunjiChawa
Je, uko tayari kuifahamu zaidi Umoja wa Ulaya na mchango wake nchini Tanzania?
Jiunge na Hilda katika safari ya“Kidole Kimoja Hakivunji Chawa”
—————
Are you ready to know more about the EU in Tanzania?
Join Hilda on the journey of “Kidole Kimoja Hakivunji Chawa”
Kutana na mtoto ambaye ndoto yake kubwa ni kuwa mwandishi wa Habari
Nini kimepelekea veve kuwa na ndoto hii na kwa namna gani
Azam tv kupitia kipindi cha watoto shangwe tumesafiri na ndoto
vake
Usikose kutazama @utvtz Jumatatu saa 1 kamili usiku
Cc @IvonaKamuntu@JoyceMwalimu
Kupitia simu yako unaweza kujipatia fursa za ajira na kuongeza ufanisi wa kazi zako. Usiachwe nyuma; KWEA KIDIJITALI.
#kweakidijitali#tzkidijitali#tcra
@TCRA_Tz
Usikubali kupitwa a mjadala huu muhimu
Mwambie Rafiki kuwa Alhamisi hii ya tarehe 25 Agosti, 2022 kuna
jambo muhimu kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) @TCRA_Tz, kuanzia saa Moja
kamili Usiku (1:00) USIKOSE!
#kweakidijitali#tzkidijitali
Usikose kutazama kipindi cha watoto Shangwe na mwalimu Joyce Kiango.
Kila
Jumatatu-ijumaa
Saa 10:00 jioni
Na marudio
Jumamosi na jumapili saa 4 asubuhi
Hapahapa Azam Tv channel no 108 UTV
Oktoba 28, 2020 sisi tutapiga kura, wewe je? Uko tayari? Usipoteze nafasi ya kutumia haki yako ya kidemokrasia kumchagua kiongozi unayemtaka.
#UchaguziMkuu2020#KuraYangu#Uchaguzi2020
“I still believe that if your aim is to change the world, journalism is a more immediate short-term weapon.” — Tom Stoppard
Help me to retweet this for the world to see and grant me a chance to reveal the untold stories about Africa and the world at large.🌍
#daressalaam🇹🇿
"#UmojaWaMataifa una fursa nyingi ambazo ikiwa vijana tutakuwa na moyo wa kujitolea na bidii ya kazi, tunaweza kunufaika nazo,”
Hilda Phoya atoa ushauri baada ya mafunzo @UNICDaressalaam#Tanzania.
Simulizi yake nzima: https://t.co/8CPXYiRJFH
Je una ndoto siku moja kufanya kazi na @UmojaWaMataifa? Tazama mahojiano haya kati ya Ahimidiwe Olotu wa @UNICDaressalaam na Hilda Phoya, ambaye amehitimisha mafunzo yake kwa vitendo (Internship) Fuatilia zaidi https://t.co/XWhM7eV5pv
#unicdaresalaam#UN75#SDGs
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa @aminajmohammed amesema kuwa wanaume na wavulana ambao wanafumbia macho ukatili dhidi ya wanawake lazima wakubali kwamba wanashiriki ukatili huo.
zaidi: https://t.co/iqf9szeTPk
#UN75#habarizaun#unicdaressalaam
Leo ni kumbukizi ya waathirika wa utumwa na biashara ya utumwa kupitia bahari ya Atlantiki.
Tunawakumbuka wote walioteseka na kufa kwa kulazimishwa kusafirishwa kama watumwa kupitia bahari ya Atlantiki-moja ya uhalifu mkubwa katika historia ya binadamu.
#RememberSlavery#UN75