Afisa Habari Wa Kituo Cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam, @stella_vuzo akipokea Tuzo ya Kiswahili ya Redio Bora Katika Ukuzaji wa Msamiati wa Kiswahili (Kimataifa),kwa niaba ya Idhaa ya #Kiswahili ya @UN.
Tuzo zimetolewa Jijini Dodoma Tz na @bakita_tz#UNTZ
"Kilimo cha mjini kipewe kipaumbele",-Mary Kibasa, mkulima wa mbogamboga jijini Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿. Mary na wenzake, wanaenda sawa na @FAO ambayo inataka kuinua lishe na kipato kupitia matunda na mbogamboga. Zaidi katika Jarida la @UN 👉https://t.co/HV9t27VkFd
#IYVF
Salamu Za Pole
@UnitedNationsTZ unatoa salamu za Pole kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, familia na watanzania wote kwa msiba wa Mh Maalim Seif Sharif Hamad aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Challenge Accepted,
@IOMTanzania Chief of Mission @SufiQasim#TakeTheBall for #SDG10 & #SDG13
“If Migration is well Managed could be a potential adaptation strategy & way to build resilience for Climate Change”
Challenge goes @UNHCRTanzania Rep @kanyandulajose
What will you do?
"On the International Day of Zero Tolerance for Female Genital Mutilation, we raise our voices to say, “Enough!”
We have no time to waste. Let’s UNITE, FUND and ACT to end female genital mutilation by 2030." @antonioguterres#unicdaressalaam#EndFGM
Tunapokumbuka waliokufa kwenye mauaji ya halaiki na kuenzi manusura, zawadi pekee ni kujenga dunia yenye usawa, haki na utu kwa wote. @antonioguterres Katibu Mkuu #UN katika #HolocaustRemembranceDay
Kutoka Idhaa ya Kiswahili ya @UN; @Oresia@amatabata@GKaneyia na @KayandaAnold, kwa niaba ya washirika wao wote, wanakutakia mwaka mpya mwema wenye kheri na fanaka. Ahadi kutoka kwao ni kukuletea @HabarizaUN zaidi kwa #Kiswahili mwaka 2021. https://t.co/MdDCHzo7Kq
Tumeanzia #Korogocho nchini Kenya ambako @UNICEFKenya wamenusuru watoto. Kisha #Malawi na hatimaye CAR kumulika @UN_CAR Tembelea
👉 https://t.co/ObdUVLHhA7 kwa kina zaidi.
The #COVID19 pandemic is the latest crisis facing the world, but unless humans release their grip on nature, it won’t be the last. @UNDP’s #HDR2020 offers new pathways for progress in balance with the planet. Read it now: https://t.co/RAyml5cpBM @UnitedNationsTZ@UNICDaressalaam
Baadhi ya Waandishi wa habari waliohudhuri mafunzo juu ya Malengo ya Maendeleo endelevu #SDGs mjini Morogoro leo.
Mafunzo haya yametolewa na Kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam.
#unicaressalaam#SDGs
Today we thank & recognize #Volunteers for their valuable work & sacrifice.
Inspired by passion, volunteers in #Tanzania & other countries play a key role in achieving the #SDGs by taking action to help others & make the world a better place!
@UNVTanzania#VolunteerDay#UNTZ
Leo Desemba 5 ni Siku ya Kimataifa ya Kujitolea.
“Nasihi serikali zote zihamasishe watu kujitolea kufanya kazi, zisaidie jitihada za wanaojitolea na zitambue michango ya watu wanaojitolea ili kuwezesha kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu” @antonioguterres#IVD2020