"Naanza ukurasa mpya baada ya miaka minne @UNOCHA. Kimekuwa kipindi chenye changamoto, lakini pia cha kuridhisha. Ninatoa shukrani na kuwatakia wenzangu kila la heri..." - Ameandika @JoyceMsuya katika X akiaga @UN.
@KayandaAnold wa @HabarizaUN amezungumza naye.
Wakunga ndio nguzo kuu ya afya ya mama na mtoto mchanga. Huduma yenye ujuzi kabla, wakati na baada ya kujifungua inaweza kuokoa maisha na wakunga ndio walio katika nafasi bora zaidi ya kutoa huduma hiyo japo kuna uhaba mkubwa duniani. - @WHOWPRO#DayoftheMidwife#IDM2026
Ahadi ni deni! Mahojiano ya @KayandaAnold
na 𝗗𝗸𝘁. 𝗔𝗹𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗶𝗸𝘂 @ExcelliSpaceLLC Mhandisi wa
@NASA akizungumzia:
📌Yeye mwenyewe anatoka wapi?
📌Mwanamke aliyekuweko misheni ya #Artemis hivi karibuni
📌Ujumbe wake kwa wasichana na wavulana
“Both my parents were big cheerleaders for us growing up… My dad, during the holidays, would make us do forty or sixty math problems. He believed so much in us,” says Dr. Alinda Mashiku of @NASA, speaking to @KayandaAnold. #Artemis
"Naona furaha watu wanavyoshangilia, na mimi pia nashangilia nao." 𝗗𝗸𝘁. 𝗔𝗹𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗠𝗮𝘀𝗵𝗶𝗸𝘂 wa @NASA akizungumza na @KayandaAnold baada ya kusikia kuwa watu wamefurahi kutambua mchango wa kazi yake ya kuhakikisha wanaanga wanaenda mwezini🌕na kurejea salama #Artemis
📍Havana, Cuba
Mahojiano ya @KayandaAnold na Profesa Barbara Batte ambaye anafundisha lugha ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba.
Kwa kushirikiana na #Tanzania chuo hicho ambacho kimetimiza miaka 298, hivi karibuni kimetoa fursa kwa Wacuba kujifunza Kiswahili.
Habari za UN na @KayandaAnold
📌@WHO: Takribani theluthi mbili ya vifo vya wajawazito duniani hutokea katika nchi zilizoathiriwa vibaya na migogoro.
📌Watoto wanazidi kuteseka nchini #Ukraine
📌Mchakato wa kutoa nyaraka za #EpsteinFiles haukuzingatia faragha za waathirika.
Kando ya Mkutano wa 64 wa Kamisheni ya #UN ya Maendeleo ya Jamii #CSocD64 uliomalizika leo @KayandaAnold amezungumza na Mwakilishi kutoka #Tanzania Wakili Amon Mpanju ambaye ni Naibu Katibu @maendeleoyajami kuhusu 𝗵𝗮𝗸𝗶.
Mradi wa @FAO wawajenga mnepo raia baada ya mafuriko Rwanda. Mifereji inawasaidia kutumia maji katika kilimo, kutoa ajira na kudhibiti athari https://t.co/VlMGvbUMYZ
Mpango wa @UN wa kulinda amani #DRC@MONUSCO umelaani vikali mashambulizi ya kundi la ADF huko Lubero jimboni Kivu Kaskazini
🎯Yameua raia 89 wakiwemo wanawake na watoto
🎯Yameteketeza nyumba
🎯Yamesambaratisha vituo vya afya
vituohttps://news.un.org/sw/story/2025/11/1191327
Mradi wa AVANZR unaoendeshwa na shirika la @IFAD umezisaidia Jamii za watu wa asili nchini Peru kuongeza uzalishaji wa kakao kwa mbinu bunifu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Sasa mazao yameongezeka na ufanisi wa kilimo umeongezeka, asante IFAD https://t.co/nq3nJ9Zg0M
Mkutano wa nchi 20 tajiri #G20 leo umefungua pazia mjini Johanesburg nchini Afrika Kusini kwa onyo kali kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa @UNAIDS@Winnie_Byanyima, kuwa ukosefu wa usawa duniani unasababisha mlipuko wa ugonjwa wa UKIMWI kudumu zaidi.
https://t.co/mvYHcgXsTf