Kutokana na utafiti wa zaidi ya miaka miwili hasa kutoka kwenye feedback ya #DadaSmart zaidi ya 103 kutoka nyumba zaidi ya 120... tunazielewa kero za sabuni ya kufanyia usafi kuliko kawaida.... na ndio maana #SabuniSmart kutoka #HudumaSmart inakuja na #MajibuSmart!
The next generation of mama ntilie's, boda boda drivers & fundi's across East Africa are becoming part of the digital marketplace through digital platforms. I spoke to @mBongo@Afruturist@kilimwomeshi@HudumaSmart for my latest article for @TechCabal:
https://t.co/PLgD82Tjw7
We are honored to be the first runner-up in the ATU Innovation Challenge 2021 @atu_uat for the Best Ecosystem Practice in Africa Enabling Youths in ICT Innovations !
CC: @OvahTanzania@HudumaSmart
Bado msimu wa #SabaSaba2021 unaendelea, karibu banda la @costech_tz meza ya @huduma_smart kujua kuhusu huduma yetu inayotumia teknolojia kiyakinifu katika kuchagua wafanyakazi wa nyumbani.
Pia upate punguzo la 20% katika bidhaa zetu za #SabuniSmart
Karibuni sana
#SabaSaba2021 usisite kutembelea meza yetu ndani ya banda la COSTECH kujua kuhusu huduma yetu inayotumia teknolojia kiyakinifu katika kuchagua wafanyakazi wa nyumbani.
Bado tunaendelea na ofa yetu ya punguzo la 20% katika bidhaa zetu za #SabuniSmart
Karibuni sana.
#hudumasmart
Mchongo ni kwamba kwa msimu huu wa #Sabasaba2021 utapata punguzo la bei ya Sabuni Smart kwa asilimia 20 unachotakiwa kufanya ni kutembelea meza yetu iliyopo ndani ya banda la COSTECH pia upate maelezo kuhusu huduma zetu za wafanyakazi wa nyumbani na maofisini.
#hudumasmart
Hii si ya kukosa #Sabasaba2021 tembelea banda la tume ya Sayansi NaTeknolojia @costechTANZANIA ukutane Na wabunifu toka @HudumaSmart wakikuelezea namna unaweza kupata mfanyakazi wa nyumbani mwenye weledi kupitia platform https://t.co/lOuxe0Ix9M
katikati ya banda la NBC na SIDO upate bidhaa zetu pia maelezo kuhusu huduma zetu za wafanyakazi wa nyumbani na maofisini.
Wasiliana nasi sasa kupitia namba 0735 336601 / 0621 874 044 kwa taarifa zaidi juu ya huduma zetu.
Life Is Busy, We Can Help!
Huduma smart Ndani Ya Sabasaba
Tunapenda kukukaribisha kwenye maonyesho ya Sabasaba ambapo itakuwa ikionesha bidhaa na huduma zake ikiwemo huduma ya Dada Smart pamoja na sabuni maradufu- Sabuni Smart.
Mchongo ni kwamba kwa msimu huu wa Sabasaba utapata punguzo la bei ya Sabuni Smart kwa asilimia 20 unachotakiwa kufanya ni kutembelea meza yetu iliyopo ndani ya banda la Tume Ya Sayansi Na Teknolojia (COSTECH) lililopo kona ya pili kushoto kutoka lango kuu.
Karibu @HudumaSmart tunahusika na kuwatafutia watu wadada wa kazi #DadaSmart pia tunatoa mafunzo ya kazi za ndani kwa wadada hawa #DadaSmart ili kuwawezesha kupata ajira zenye staha na kukuza uchumi. Tuma maombi kupitia https://t.co/dZI3yCFT0y kwa mawasiliano piga 0657 336 601
@Allan_Lucky Karibu @HudumaSmart tunahusika na kuwatafutia watu wadada wa kazi #DadaSmart pia tunatoa mafunzo ya kazi za ndani kwa wadada hawa #DadaSmart ili kuwawezesha kupata ajira zenye staha na kukuza uchumi. Tuma maombi kupitia https://t.co/dZI3yCFT0y kwa mawasiliano piga 0657 336 601
Last year @HudumaSmart was selected to represent Tanzania in BOOST UP and had won several prizes😊 This year it could be you and your startup flying the flag high🇹🇿Only five days left to apply for #BOOSTUP2021. Apply today https://t.co/dvDfHckEu0
#techpreneurs#impactstartup
Only five days left to apply for #BOOSTUP2021. Apply today for a chance to take your startup to the next level. https://t.co/wOM7G32e1n #techpreneurs#impactstartup
The first foundation in building of great nations and families was championed by women, today history has repeat itself in our country by creating a phenomenal leader, a woman, a rising phoenix #BreakingTheGlassCeiling#WomenInLeadership#SuperSmartWoman