Kama upo chini ya 2k followers unashindwa ku tweet vitu vyako muhimu
Kwakuofia utajisomea mwenyewe hutapata influence na engagement basi
Leo nitajitolea kwajiliyenu, tweet content
Ni tags Nita retweet na ku push, fwata
Maelekezo kabla ujani tag like hapa..retweet #WapwaTuinuane