@kalegamyeh@MarekaMalili Ilikuwaa n umaskinii wa kutupaa kumkutaa muha wa kasuluu anakulaa dagaaa wa mwanzaa
Mpaka pale njaa iliposhikaa hatamu๐๐๐๐
@DullahTheking2 Kunywaa majii asubuhiii n jambo la kujizoeshaa taratibuu
Piaa inategemeaa ukoo ukandaa upiii
Kama ukoo ukandaa wa baridii kama njombe hukoo kunywaa majii huwaa n kamzozo
@Maestrowafact Ukinunua nguo yoyote ya gharamaa na utunzajii wake lazima uwe wa gharamaa hasaa kwenyee ufuajiii
Usifuliee sabunii zq ungaa zw beiii rahisii
Ukiwezaa fuliaa sabunii ya kipandee
Mm mostly natumiaa OMO nguo zangu hazipaukii kwa uharakaa
Kunq black jeans nazivaa mwakaa wa pili hu