King Leopold II of Belgium raped the Congo and its resources with unprecedented barbarism. His atrocities led to about 9 million deaths of innocent Africans. We should know more about this past.
Kuna wakati tunatakiwa tununue vitu toka kwa wauzaji barabarani hasa kwenye foleni, sio kwa sababu tunashida navyo bali wauzaji wana shida na pesa zetu.. hutofilisika
Tangulia Comrade Tangulia Kamanda Tangulia Mzee Tangulia Babu Tangulia Rafiki ,Sisi tuko njiani we will always remember ur contribution ktk historia ya Nchi yetu na Chama Chetu
“Wakati fulani nikiwa Mkuu wa Mkoa, nilipingana na Mwalimu Nyerere nikikataa Katiba isibadilishwe kwa manufaa ya watu fulani... Basi nikafukuzwa Ukuu wa Mkoa. Hivyo si kweli kwamba sikukosoa, hata sasa naendelea.”
-> Kingunge Ngombale-Mwiru, March 2014
#JFLeo#RIPKingunge
Katika Mambo tunapaswa ungana mkono ni kuona njia tunayoweza wahakikishia watoto wa kike au wasichana wanapata muda wa utulivu na wa kusoma ili kuandaa jamii yenye ubora siku zijazo. Kazi hiyo inaanza na mimi..... Mimi namuunga Mkono Mh.Mbunge Pendeza, Wewe je?#ElimuBurePediBure
#TwitterGulio Una nyumba nzuri,gari nzuri mke/mume mzuri au we mwenyewe Ni beautiful/handsome au wewe Ni gentleman lakini mbele ya nyumba yako kukiwa na jua Kali vumbi! Kukiwa na mvua tope! Aisee utakua umeharibu kila kitu,Cha kufanya wasiliana nami kwa simu 0756423052!
Siku 3 baada ya kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga kujiapisha kuwa Rais wa watu, Marekani imeeleza wasiwasi wake mkubwa kutokana na mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo.
Imeilalamikia Serikali ya Kenya kwa kukataa kuketi na upinzani ili kutatua mgogoro.
Tanzania leo imefungua rasmi Ubalozi wake nchini Korea kusini kwa kuzindua rasmi majengo ya Ubalozi huo.
Hafla hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Mambo ya nje, Balozi Mahiga na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon.