Welcome for Swahili learning classes
join me on WhatsApp for more clarification on how to start your class
SWAHILI LANGUAGE IS BEAUTIFUL AND LEARNABLE
Welcome🙏
Watch Pi’s latest video that showcases Pioneers engaging with local commerce in the first PiFest after Open Network, highlighting the global and practical utility of Pi! Images were shared by Pioneers on the #PiFest channel in Fireside Forum, Pi’s Web3 social media app. With the full support of Open Network’s external connectivity, continue engaging with local merchants that accept Pi!
We don’t care what you believe nor do we have any desire to convince you of anything. You’ve made it very clear you’ve lost your grip on reality, so it’s pointless to even engage with you at this point.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi( CCM ) Stephen Wasira, amewataka wanachama wa chama hicho kwenda kwa Watanzania na kuwaambia yale yote yaliyofanywa na Serikali
"Nawaomba muende kwa wananchi na muwaeleze haya wanayoyaona ni matokeo ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, msione Zahanati zimejengwa, Magari ya kubeba Wagonjwa na Madarasa, hiyo yote ni kazi ya Rais Samia, nendeni mkawaambie wananchi"
Hayo aliyazungumza wakati anahutubia kwenye mkutano wa ndani wa wanachama wa Chama hicho uliofanyika leo, Jumapili, 23, 2025 Wilaya ya Karagwe ukiwahusisha pia viongozi wa wilaya ya Kyerwa.
#kazinaututunasongambele
It is with great sadness that we mourn the passing of Mussa J Mgata, Executive Director of @RCEastAfrica. The UK was proud to work alongside him on vital child protection efforts in Tanzania. Our thoughts are with his family, colleagues, & all those who were impacted by his work.