Wazazi wa kiswahili hawa~spoiliki!
Mama Ebra nimesema nimfurahishe nikamuagizia kisinia ๐ฑ cha elfu 75 cha watu watano ale aenjoy na wajukuu!!
Kwanza kilipofika akanitext!!
Hiki ndoโ shingapi?๐
Nikamwambia elfu 75 na delivery elfu 80!
Aiseee kaniandikia gazeti hiloโฆ.๐
Hiyo elfu 80 bora ungenitumia tu tungekula siku3, apo napata sukari,mchele,mafuta,maharage,
nyama, hadi luku nawekaโฆโฆ.