Salome Mlabwa, Mkufunzi wa Chuo Kikuu cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili nchini #Tanzania@muhimbiliuniver anaitaka jamii iondokane na kasumba kwamba masomo ya sayansi ni magumu kwa watoto wa kike.
Fahamu ni kwa vipi Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili nchini #Tanzania#𝗠𝗨𝗖𝗢𝗛𝗔𝗦 kinahakikisha elimu kwa vijana itawaletea tija wakihitimu masomo yao. Msimulizi @leahbtz#Education
Tumia Muda Wako Wa Mahusiano Yako Na MWENYEZI MUNGU Vizuri Sana, Tulia Na Ongeza Unyenyekevu Siku Baada Ya Siku, Omba, Weka Ahadi Na Ukipewa Timiza Ahadi Zako Bila Kuchelewa, Shukuru Sana Na Ondoa Lawama, Omba Samahani Unapokosea Na Wasamehe Wengine Hata Wasipoomba Msamaha…….✍🏽
Kutana na mwanaume aliyeamua kwenda kinyume na fikra za wenzake kuhusu kumsindikiza mke wake kliniki wakati wa ujauzito kama inavyoshauriwa na @UNFPA Msimulizi wako ni @IamMapesa#SDGs
Hongera sana.
Tunawakaribisha katika Utumishi wa Umma, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, huku mkitanguliza uzalendo. Watanzania wana matarajio makubwa katika utumishi wenu.
A Vision for a Healthier Africa:
I am honored to share this documentary, which reflects my journey and commitment to strengthening healthcare systems across our continent. Through the voices of leaders and colleagues, it highlights the values that guide me; leadership, dedication, and a deep belief in health equity and well-being for all. I remain steadfast in my vision for a healthier, stronger Africa.
#WHO
#WHOAFRO
#JANABI4WHOAFRO
Baadhi ya tafiti zimeonesha kuwa kutokana na maandalizi mabaya, baadhi ya lipstick zinaweza kuwa na kiwango kidogo cha Metali nzito kama Cadmium hivyo kuongeza hatari za kiafya hasa kwa watumiaji wa mara kwa mara.
Cadmium huingia mwilini kupitia kumeza chembechembe za lipstick, hasa kwa wanaotumia mara nyingi kila siku. Zinapotumika kwa muda mrefu, sumu hujikusanya na inaweza kuathiri Figo, Mifupa, Uwezo wa kupata Watoto na kuhusishwa na baadhi ya Saratani.
Ili kujilinda, nunua lipstick kutoka maduka ya kuaminika na zilizosajiliwa na mamlaka kama TBS. Epuka lipsticks zinazotengenezwa uchochoroni, zisizo na lebo pia zilizofikia tarehe ya mwisho wa matumizi. Aidha, hifadhi vizuri na usiruhusu watoto kuchezea
Baada ya kukosa ajira ya alichosomea Chuo Kikuu, kijana mmoja nchini #Tanzania atumia fursa ya ufugaji wa 🐟🐠 samaki kwenye vizimba huko Ziwa Viktoria kama anavyosimulia @IamMapesa kutoka #Mwanza#Tanzania#SDGs
Kijana mwenzangu usidharau mafanikio yako hata kama ni kidogo kiasi gani. Kesho yako kubwa na ya ndoto zako inaanza kujengwa na kidogo ulichonacho sasa. Tena usiruhusu watu wadharau ulichonacho, kwani hawakuwepo wakati unatokwa jasho kukitafuta. Pambana amini kesho yako ni kubwa.
Kila dakika mbili mwanamke hufariki wakati wa ujauzito au kujifungua, si kwa sababu ya ugumu wa matibabu, bali kwa ukosefu wa uwekezaji.
@UNFPA inawataka viongozi kuwekeza katika wakunga na huduma za uzazi salama.
Zaidi: https://t.co/BiN3TbwqdW v UNFPA
Ulaji wa Mchele hauna faida yoyote kwa Afya bali huongeza hatari mbalimbali ikiwemo Maumivu ya Tumbo, Kuhara na Kutapika kutokana na kiini kiitwacho 'Lectin' ambacho huharibu kuta za tumbo na kuzuia ufyonzaji wa virutubisho.
Pia Hatari ya Maambukizi kutokana na Wadudu ambao wangeondolewa na Joto huongezeka, na huashiria kuwa una tatizo la Kisaikolojia linaloitwa 'Pica' ambazo huwa na dalili za kuwa na hamu na vitu visivyokuwa Chakula kama Chaki, Nyasi au Udongo ikiashiria upungufu wa Madini muhimu Mwilini.
Ikiwa unakabiliwa na Suala hili ni vyema kuona Wataalamu wa Afya kwa Uchunguzi, Ushauri na Matibabu
. Je mkimbiz huyo aliyerejea nyumbani amekuta hali gani? Basi ungana nami Evarist Mapesa katika ripoti hii iliyofanikishwa na mwandishi wa habari wa Umoja wa Mataifa huko Mashariki mwa DRC.