This is what I have learnt from the breakup of Njugush;
1. As a man usikubali kuinvest na bibi pamoja. Respect yake kuja kwako inaisha.
2. Usizoena na bibi.
3. Usikue loyal to a woman. Just be loyal to the relationship
4. Usikubali mambo ya 50/50 kwa ndoa. Kama unataka kuingia kwa ndoa be ready to fully fund her ama uachane na yeye.
5. Kama huwezi satisfy bibi yako kwa bed then be ready kuna kajamaa katasatisfy huyo wife yako.
6. Mwanaume hufai kua attached to anything.