@chiefodemba Odemba kweli wew ni luo Icon ila utawafanya wawe wanakimbia mahojiano Sasa tunaomba ututafutie Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi au Spika wa bunge Endelea kutafuta video zao Ili wajifunze kuwa na misimamo
@earadiofm@hamisa_24 Nani kakutumia tunataka kurudishiwa pesa zetu kwani wew ukitumiwa nauli uje ghetto ukahairisha Huwa unarudisha pesa ....nenda nyumbani ukapike hayo mambo tuachie wanaume
@HecheJohn Kila unapopanda jukwaani naomba usisahau kuwazungumzia wale wote walio potea na kuzitia familia zao nguvu naona kama sauti za watu zimeanza kupungua kuwatafuta home boy piga nyundo
@millardayo Kulaani hakusaidii kitu tangu zamani nimesikia watu wakilaani haya matukio na bado yapo tu kuna Kazi ya kufanya zaidi ya matamko ya kulaani