@EduTalkTz Dini haijashindwa; tatizo ni mwanadamu kuchagua kutotii. Uwezo wa mtu kuvunja sheria hauifanyi sheria isiwepo—wala power haimfanyi mtu kuwa Mungu.
Huyu anaitwa Jackson yupo Oysterbay polis kitengo( SIBER)
ndio aliusika na utekaji wa ndugu yetu peter mushi na kumweka kwenye gari aina ya crown na kuondoka naye.
mpaka sasa ni siku ya 11 @tanpol wamekaa kmy na bila kutoa ushirikiano kwa familia💔
Naomba Retweet🙏
Kuna kitu cha pekee alichonacho Lissu, nadhani Mungu alimjalia, na anakitendea haki. Kwa kweli, ninatumaini ataishi kuiona Tanganyika au Tanzania ambayo amepigania kwa dhati.
#TooMuchMachinery
Vyombo Vyetu Vya Dola Lazima Vikubali Kubadilika Mentally
Tunahitaji Vyombo Vya Dola Ambavyo Haviamini Katika Kufanya Kazi Kwa Kutumia Maguvu Tu Kila Wakati.
Lazima Vyombo Vyetu Vya Ulinzi Viweze Kufanya Kazi Kuendana na Nyakati za Sasa Sio Kuendelea kuamini kwamba kumuumiza na kumtesa mtu/mtuhumiwa ndiyo atasema ukweli, No No No. Badilikeni Maana mnaendelea kutengeza chuki kubwa dhidi ya Common wananchi, mnaendelea kujenga Ukuta Dhidi ya Common Wananchi.
Waliohusikana na Haya mauaji wachukuliwe hatua za kisheria na Ofisi ya DPP ifanye kazi kwa weredi na haki ipatikane not Business umUsual maana watanzania sio wajinga tena.
Pole sana familia haya zao vijana
Nawatakia kupona haraka kwa majeruhi pia
@MalisaGJ_ Yerikoooo kutoka kujionyesha Yuko Imara ndani ya CHADEMA mpaka kuwa shahidi wa kutokwa na majasho ndani ya kibanda kibox.
Bure na ovyo kabisa.
@YerickoNyerereT Ndugu mwananchi, kataa utapeli. Popote pale ukutanapo na bango hili lipoti au toa taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu nawe.