Serikali inapata Faida gani Kuzindua meli za wachina, wachimbaji na kusema Za kwetu, Jin hang Vessel
Kampuni kubwa kabisa la wachina, linalojihusisha na migodi mikubwa kabisa mashariki ya Congo Zijin Mining ndio wamiliki wa meli zaidi ya nne katika ziwa Tanganyika, Meli hizo ni maarufu kwa Jina la Jin hang, na zitakuwa zikichukua makaa ya mawe kutoka bongo kwenda kwenye migodi yao mikubwa, na pia watakuwa wakichukua madini mengi kutoka migodi yao iliyopo congo kwa kutumia meli hizo na kusafirisha bandari ya tanganyika kisha Kurasini then China. Tayari wameanza kupakia makaa ya mawe.
Hao wachina pia wana mkataba wa kujenga double road ya km300 upande wa kongo kutoka bandarini hadi migodini kwa pesa zao wenyewe,
KINACHONISHANGAZA MELI NI ZA WACHINA, WAMILIKI NI WACHINA, KAZI ITAFANYA ZA WACHINA, PORT WATACHUKUA PORT FEE TU , IWEJE SERIKALI ISEME MELI NI ZAO, HUU NI UONGO WA WAZI WAZI, HATA MABOSI WA TPA WANAJUA MELI SIO ZA WATANZANIA NI ZA WACHINA, ENDELEENI KUPIGA FIX WAMALAWI
That is my Boss,
Spirit yake haiwezi kuvunjwa na kuta za gereza.
Watanzania wamekusikia Boss. Kila mtu achangie chama kwa uwezo wake.
CHANGIA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
SIRI YA KATAMBI KUTANGAZA HALI YA HATARI SIO VYAMA YA SIASA NI YEYE KUIBA MKE WA MTU
Hapa kuna makala yako ikiwa imepangwa vyema kihariri na kuisoma kwa urahisi, bila kubadilisha, kuongeza, au kuondoa neno hata moja:
SIRI YA KATAMBI KUTANGAZA HALI YA HATARI SIO VYAMA YA SIASA NI YEYE KUIBA MKE WA MTU
Kuna siri kubwa sana nyuma ya maagizo aliyotoa Katambi kuzuia mikutano ya vyama vya siasa na mikutano, kutokana na kile anachosema ni hali ya hatari, lakini CCM wakiendelea na mikutano kama kawaida. Huko nyuma walikuwa wakifanya hivi na CCM inaacha, lakini kwa sasa inaendelea kwani suala hili halieleweki hata ndani ya serikali na CCM.
Katambi ametumia fursa ya Samia kupenda majungu na uonevu kwa CHADEMA, kisha akajenga mazingira kwamba afungie vyama vya siasa na kutangaza hali ya hatari. Kuna wanaokubaliana naye kama Mwigulu, maana naye ana ajenda yake binafsi kwenye haya. Mwigulu yeye anaamini Samia ameshachafuka sana na si mtu makini.
Tukae hapa kwa Katambi ni hofu gani ambayo yuko nayo mpaka akafika hatua ya kuingia nchi kwenye huu uchafu. Bahati nzuri huu uchafu wake unajulikana hata ndani ya TISS, kinachomuokoa Katambi ni Samia kutafuta kila mbinu kuimaliza CHADEMA; hata hii ya Katambi anafikiria ni kwa ajili ya kumsaidia yeye kumaliza CHADEMA. Ubaya ni kwamba TISS kuna wazalendo wachache sana, wanahofu ya kusema ukweli wa mambo mengi yanayotokea, likiwemo hili la Katambi.
Mwanzo Katambi alikuwa na Kitambulisho cha TISS, lakini sasa amenyang’anywa kwa sababu alikuwa anakitumia kufanya uharifu mwingi. Kuna wengine watatu pamoja naye ambao walikuwa mawaziri wameyang'anywa vitambulisho vya TISS. Ndipo Katambi akaona atafute njia yoyote ya kujikweza.
Katambi amechukua mke wa mfanyabiashara mkubwa wa Magidini huko Arusha. Anaishi naye nyumbani kwake Dodoma, maeneo ya Mlimwa C, wakiishi kama mume na mke. Huyu ni mbunge anayejulikana kwa jina la Esther Malleko. Mume wa Esther amekasirika sana kwa haya aliyofanya Katambi na Esther. Inaonekana Esther anamjua vizuri sana mume wake. Sasa hapo ndipo Katambi akatafuta upenyo wa kutangaza hali ya hatari. Baada ya tangazo hili, anajifanya amekua adui wa taifa na CHADEMA, anatengeneza mazingira kwamba yeye anawajua sana CHADEMA ni watu hatari; hivyo ameweka mazingira ya kuwa na ulinzi mkali sana nyumbani kwake na maeneo mengine anayokwenda.
Lakini, hofu ya Katambi ni tishio la kuliwa kichwa ambalo amepata kwa kuchukua mke wa mtu. Hii ni tabia yake ya muda mrefu sana. Fikiria tumefikia hatua TAIFA zima linaingia kwenye giza nene namna hii kwa sababu ya ushenzi wa mtu anayejiita waziri wa mambo ya ndani.
Kama TRA wanafanya kazi vizuri, waangalie mambo yafuatayo: Esther amenunuliwa gari la milioni 500 na Katambi, pia kuna magari mengine matatu ambayo Katambi amemnunulia, yako kwenye UMILIKI wa Esther na mengine kwa ndugu. Hivi inawezekana vipi mtu kama Katambi aweze kumnunulia mtu magari ya mamilioni kwa idadi kubwa hivi kutokana na siasa, Hapo hapo Katambi bado awe na magari na majumba ya kifahari nje ya hizo zawadi na motisha anazotoa kwa Esther? Kuna ufisadi mkubwa sana unaendelea, Matumizi ya Katambi sio kwa Esther tu ana hudumia kwa mabilioni ya fedha wanawake wengi tu.
Katambi alimpeleka Esther nje ya nchi akiwa ameongozana na Catherine kwenda nchi moja ambayo Catherine alikwenda kuongeza makalio, Katambi amelipia gharama zote hawa wawili kuwa nje ya nchi wakati Esther akiongeza makalio. Tumefikia hatua tunaibiwa fedha zetu kwa wingi kiasi kwamba Katambi anaweza toa mamilioni kwenda kutengenezewa kalio analotaka kwa Esther, yaani liwe kama la Catherine. Ndivyo pesa wanazoibiwa vinavyotumika kufanya mambo ya kijinga kijinga kama hivyo.
Esther anapoulizwa kwa nini amemtenda hivi mumewe aliye na watoto naye, anajitetea kwa kusema mume hana kitu, hana tena ndugu za kiume kulala naye. Wameacha kufanya tendo la ndoa kwa miaka mingi, yeye hataki mume wa aina hiyo, ndiyo maana ameamua kuwa kwa Katambi. Lakini, hajavunjwa ndoa. Sababu ni kwamba anakula pesa za Katambi, na baadaye yeye na Katambi wanatengeneza kesi dhidi ya mumewe , afungwe hili Esther achukua mali zote. Katambi anapanga pia kummaliza mume wa Esther kutokana na tishio la kuliwa kichwa, ndiyo sababu ndoa ya Esther haijavunjwa sababu hawa wawili wana nia mbaya sana. Japo Katambi yeye anaonekana kumdhibiti kirahisi sana mkewe
Katambi amempiga marufuku mkewe anayejulikana kama Violent kukanyaga pale anapoisha Dodoma, kwa sababu hapo kuna Esther ameshaamia na anaishi hapo. Mkewe sasa ni wa kukaa Shinyanga tu, na anasimama kwenye makanisa na majukwaa anazungumza kuhusu haki na kuipenda nchi wakati ametelekeza familia yake. Analipia makalio ya Esther ni mshamba sana huyu kijana; Zumbukuku amekorofisha watu wengi sana kwa ufisadi na kutumia fursa yake kuwa karibu na Samia kumfanyia uovu, kumbe anafanya yake kwa wingi tu.
Hivi kweli TISS mnamuogopa Samia? Kiacha cha kuacha maujinga kama haya kufanyika! Mpaka mtu anatangaza hali ya hatari nchini sababu ya kupenda ngono na wake za watu? Tunaumiza DEMOKRASIA kwa sababu ya tamaa za ngono za Katambi.
Hapa chini nitaweka picha ya Esther na familia yake aliyetelekeza kwenda kwa Katambi. Ndio Samia na wapuuzi wengine ndani ya CCM, mjuavyo navyosambalatisha familia za watu. Na kumbe kwenye bunge lenu haramu, mmeweka wabunge wengi wajinga, wasio na elimu, kama huyu Esther hata la saba, watu wana mashaka kama amemaliza. Kuna idadi kubwa ya wabunge wasio na elimu nzuri, hata ya kidato cha 4.
Katiba Mbovu ni silaha inayo tumiwa na watawala kuwakandamiza Wananchi. Taifa la Tanzania ili kukidhi na kurudisha Heshima kwa Wananchi wake suruhisho la kwanza ni #KatibaMpya
Maridhiano mnayojadili ni kati ya nani na nani? CCM na CHADEMA? CCM iko Polisi, CHADEMA iko Ukonga. Sasa tufanyeje? Tuwafungulie CCM kutoka Polisi na CHADEMA toka Ukonga, ndipo tutapata fursa ya maridhiano ya aina yoyote!
“When rivers meet in the ocean, you can’t know which water came from your village.”
Na Rev Peter Simon Msigwa
(Mito inapokutana baharini, huwezi kujua ni maji yapi yalitoka kijijini kwako.)
Methali hii ina maana ya kina sana kuhusu maisha, unyenyekevu, na mchango wa mtu katika jambo kubwa zaidi kuliko yeye mwenyewe.
Maana yake ni kwamba:
Tunapotimiza kusudi kubwa la pamoja, mchango wa mtu mmoja huungana na michango ya wengine kiasi kwamba ni vigumu kutenganisha nani alifanya nini.
Mafanikio makubwa ya taifa, taasisi, kanisa, au familia huwa matokeo ya watu wengi, si mtu mmoja.
Tunapaswa kufanya mema bila kutafuta sifa kila wakati, kwa sababu kazi yetu huwa sehemu ya jambo kubwa zaidi kuliko sisi wenyewe.
Kwa mfano:
Mwalimu aliyemfundisha daktari akiwa darasa la kwanza haonekani hospitalini wakati daktari anatibu wagonjwa. Lakini mchango wake umo ndani ya mafanikio hayo.
Mkulima aliyelima chakula miaka mingi iliyopita haonekani kwenye maendeleo ya taifa, lakini mchango wake umo humo.
Katika siasa, viongozi wengi hupenda historia ikumbuke majina yao. Lakini ukweli ni kwamba maendeleo ya taifa hujengwa na maelfu ya watu ambao majina yao hayatajwi. Bahari haibebi majina ya mito.
Methali hii pia ni somo la unyenyekevu:
Usidhani kwamba wewe ndiye kila kitu kwa sababu tu unaonekana leo. Wengi walichangia kabla yako. Na baada yako wengine wataendelea kuchangia.
Kwa mtazamo wa kiroho:
Tunapomtumikia Mungu, si lazima kila mtu ajulikane. Wengine hupanda, wengine humwagilia, wengine huvuna. Lakini mavuno yanapokuja, ni vigumu kujua ni sehemu gani hasa ilitokana na nani.
Kama alivyosema mtume Paulo:
“Mimi nilipanda, Apolo akamwagilia, bali Mungu ndiye aliyekuza.”
Kwa hiyo, “When rivers meet in the ocean, you can’t know which water came from your village” ni ukumbusho kwamba umuhimu wa mchango wako haupimwi na umaarufu wako. Maji ya mto wako yanaweza yasitambulike baharini, lakini bado ni sehemu ya bahari. Huo ndio ukuu wa huduma, uongozi na maisha yenye kusudi.
“Chama Chetu, Wajibu Wetu.”
Mabadiliko hayajengwi na mtu mmoja; yanajengwa na wananchi. Kila mchango wako, mkubwa au mdogo, ni sehemu ya kujenga CHADEMA imara na huru. Chama chetu, wajibu wetu.
M-PESA: CHADEMA HQ - 0744446969
CHADEMA NMB: 22606600140
"Haya mambo haya mnayoyaona hakuna jambo jipya duniani. Kisa cha Yusufu si mnakijua kwenye Biblia? Ndugu zake walimkamata wakamuuza, si ndio? Akaenda Misri akawa mtu muadilifu, mkweli, asiyekula rushwa- akasingiziwa kwamba ametaka kutembea na Mke wa Potifa, akaenda gerezani akafungwa maisha, kwanza alitakiwa kunyongwa maana ni uhaini, kwahiyo haya mambo ya watu wema, waliosimama imara kama Lissu kusingiziwa na kuwekwa gerezani ni mambo ambayo yalikuwa tangu zamani.
"Sisi tutasimama na Lissu, atatoka na atatuongoza, atatoka na sisi tutamsaidia afanye uongozi wake vizuri na awe rais wa Nchi hii ili aivushe atupeleke kwenye Nchi ya ahadi."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema akizungumza na Wazee wa Tarime Mkoani Mara.
"Nataka nirudie msimamo wa chama chetu na hatutayumba hata nukta moja. Mimi bahati nzuri nilikuwa miongoni mwa watu watano tulioteuliwa kwenda kwenye kile kilichoitwa Maridhiano wakati wa Mwenyekiti Mbowe na mimi nilikaa kwenye ule ukumbi nikawaambia hawa watu hawana malengo ya kubadilisha chochote, baadae nikaonekana kama mimi nilikuwa tu na hofu zangu lakini kile nilichokuwa nimekisema ndicho kilichokuja kutokea kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuwa na nia yoyote ya maridhiano."
.... Sasa kitu kama hicho tumejifunza, hatuwezi kurudia makosa kama yale. Kamati kuu ilipokaa imesema hakuna maridhiano yoyote yatakayofanywa na CCM bila kwanza Mwenyekiti wetu na watu wengine waliokamatwa kuwa nje. Pili, hakuna aina yoyote ya maridhiano itakayofanywa bila ya mtu kati ambaye atakuwa na mandate ya kuangalia kile kinachozungumzwa kinatekelezwa."
"Hakuna maridhiano yoyote yatakayofanyika bila uwajibikaji kwa yale waliyoyafanya kwa makosa makubwa waliyoyatenda dhidi ya binadamu wenzao. Haya mambo ni ya kamati kuu na hayatapindishwa. Hata hao wanaopewa vifedha niwaambie Lissu hawezi kutoka kwa masharti, Lissu anatakiwa kuachiwa unconditionally. Huwezi kumkamata mtu halafu unasema ili aachiwe lazima uzungumze na mimi, haya hayatakaa yatokee chini ya uongozi wetu."
"Hatuwezi kwenda kuzungumza na watu ambao tunawajua hawapo tayari. Aina yoyote ya mazungumzo au maridhiano ya uongo uongo, ujanja ujanja itakuwa ni usaliti mkubwa kwa mwenyekiti wetu Lissu na wale waliokufa wakati wa Oktoba 29."-@HecheJohn, Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 akizungumza na watanzania waishio nje ya Nchi.
Msikilize Dr Benson Alfred Bana Profesa wa Sayansi ya Siasa na Utawala na aliwahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Dr Benson Kada mtiifu wa CCM ameamua kuwapiga msasa Watawala wa CCM huko, bahati mbaya wanaweza kukasiliza na kumvua Ubalozi haraka sana. Hawataki ukweli.
#TANZANIA: VIONGOZI WA SERIKALI WAKO KUJITETEA, KESI YA LISSU HAKUNA KINACHOENDELEA, HAKUNA USHAHIDI - BUBELWA
Mchumi na Mshauri wa Masuala ya Siasa nchini, Bubelwa Kaiza hii leo Julai 16, 2026 akizungumza na Wanahabari amesema wanataka utawala bora wa kufuata sheria na haki za binadamu, sio mtuhumiwa anapokea kipigo toka kwa jeshi la polisi hata kabla hajafikishwa kwenye kituo cha polisi au watu kupewa kesi na kukaa ndani kwa zaidi ya mwaka mmoja bila sababu za msingi akitolea mfano kesi ya Tundu Lissu, "kesi ya Lissu hakuna ushahidi mpaka sasa"
Zaidi: https://t.co/mFzaCVLMYY
Kuna sheikh amefukuzwa Dar .
Kumbe issue yake inahusika na Dereva wake kukutwa na madawa ya kulevya .
Dereva amebanwa amemtaja kwamba ndiye mwenye biashara, kuna mzee wa Msoga anatuhumiwa kuwa kwenye hii ring
Kamishina wa Madawa ya kulevya yuko kwenye pressure kumwachia huyu dereva maana ni kama Dereva anaongea sana anaharibu.
Kumbe wazee wanagomea katiba sababu wanauza sana madawa wanahofu biashara yao itagaribika
Huu uchawa mnaona kuna madawa ya kulevya na biashara haramu nyuma yake.
Nchi imeoza
Nimeshatoa michango mingi kwa @ChademaTZ2 ila leo nimetoa tena sababu kuchangia chadema mara moja haitoshi lazma tuchangie kila mwezi.
Hakuna tena kusapoti Chadema kwa mdomo na comments, ni lazma tusapoti kwa kutoa pesa, kama msemo unavyosema “put your money where your mouth is”.
Diaspora mlioko nje na hamuogopi kutuma pesa kwa Chadema please tuma pesa sasa hivi
Vodacom Mpesa - 0744 446969
Jina: Chadema HQ
Bank : NMB - 22606600140
Jina : CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO.
Kwa Diaspora ambao mnaogopa kuwatumia pesa Chadema coz mtakuwa targeted mkienda bongo kutembea, huyu mpiganaji wetu @Liberatus80 amejitolea kupokea pesa zenu kupitia Cashapp, PayPal, zelle na njia zingine then atazifikisha Chadema.
Mimi pia najitolea kupokea michango ya Diaspora wa nchi yoyote sio Marekani tu ambao mnaogopa kuwatumia Chadema pesa then nitawafikishia, you can use PayPal @[email protected]
Au Zelle 424-537-3057
Au cashapp: $mangekimambi
Au banking:
Bank: Wells Fargo
Account #: 8433034900
Domestic wire (US) - 121000248
International wire- WFBIUS6S