@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utam ulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati.
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
Msikubali kutolewa katika mstari. Adui wa CHADEMA siyo mpya. Adui wa CHADEMA ni DOLA KATILI ya CCM. Kuwa KIONGOZI wa CHADEMA ni kukubali kujitoa MUHANGA. Kuwa mwanachama na mfuasi wa CHADEMA ni kuingia vitani. DOLA katili la CCM halipendi kuiona CHADEMA iliyostawi na IMARA.
Watanzania @HecheJohn na @TunduALissu wanatuhitaji kupita kiasi.
Heche anapigwa vita sababu kuna viongozi ndani ya Chadema wamefika bei ya maridhiano na CCM so wanajaribu kumuondoa Heche ili waweke mtu ambae atafanya maridhiano..
NIMEKUBALI:
Baada ya KUOMBWA SANA nitoe Msaada wa KISHERIA na FEDHA kwa WANAFUNZI 17 👇 ambao wanatuhumiwa “KUGHUSHI” MKOPO WA ELIMU YA JUU, napenda kuufahamisha umma kwamba; kama MNYAMWEZI, NIMEKUBALI kuubeba MZIGO huo ili WANAFUNZI hao WARUDI SHULENI KUPATA ELIMU.
Huwa nawaambia kuwa mngejua wanavyotuona kama sisimizi! Hata mnayemdhania ni mstaarabu ana maoni haya! CCM mkiwaamini shauri zenu! Not this group of CCM!
Utter contempt from Asha Rose Migiro who was Deputy Secretary General of the UN under Ban Ki Moon!
She defended the police of #Tanzania who massacred innocent citizens in the streets, in homes and bars! And she says they did a sacred job!
Heartless but not suprised!
#CCMmustgo #SamiaMustGo
The @StateDept is designating Tanzanian Police Force Senior Assistant Commissioner Faustine Jackson Mafwele for involvement in gross violations of human rights.
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
@21st_lucas@HecheJohn Do you think solutions ni kutafta position au ni kupush mabadiliko yatokee. Kwani huko ambako vyama dola viliangushwa walikuwa na miujiza gani. Tutashinda
Uadilifu na kujiheshimu ni tunu kubwa sana! Pale mtu mzima unapojitoa ufahamu, ukakosa haya hata kuuza utu wako kwa vipande thelathini vya fedha kama Yuda Iskariote, unakuwa umejidhalilisha na kupoteza hadhi yako. Je, kweli unapata usingizi wa amani?