Nyanya ikiwa gengeni ina bei yake, ikiwa shambani ina bei yake, ikiwa 'supermarket' ina bei yake...kilichoibadili bei ni mazingira. Kuna wakati kubadili mazingira kunaweza ifikisha thamani yako stahiki.
Habari za asubuhi ndugu yangu. Ikiwa tunaanza nusu nyingine ya mwaka, Nakuombea kwa Mungu akubarikie, na kukulinda; akuangazie nuru za uso wake, na kukufadhili; na BWANA akuinulie uso wake, na kukupa amani na Neema zote unazohitaji katika maisha yako. Nakutakia kila jema.
Some people in your family will travel miles to bury you, but will not even cross the street to support you when you are alive. Appreciate the people who continue to invest in you.
@Afruturist You are right ,you are not just dreaming ,you are actually envisioning. These are rare proposals which should find a way to connect with planners and Policy makers to make it real. The Private Sector and CSOs may reflect and analyze this idea for demo and advocacy.
The Unused Army.
I talked about thousands of youths in my book at Kariakoo with skills to fix any digital gadget spanning from Aggrey Street all the way to Gerezani.
If we can build a proper ICT cluster and formalize ICT refurbishment centres and assembling plants possibly we can create thousands of jobs in the next few years. We can use VETA to upgrade these guys.
Everything we need for this to happen is already there. There is no big difference between what is happening there and in Huaqiangbei Market, Shenzhen. We just need strategy and execution.
We can be selling phones assembled in Tanzania all over East Africa. Massive opportunity, with DRC joining the EAC.
May be I'm dreaming.
@azamtvtz Mungu amlinde mtoto Georgina Magesa ili akue vema kwa viwango vyote na kutimiza ndoto yake . Asante sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa ishara hii ya kutambua vipaji vya watoto.
Historia nyingine imeandikwa…Rais Samia Suluhu Hassan amempisha mtoto mwenye umri wa miaka minane, Georgina Magesa na kumruhusu akae kwenye kiti chake.
Shuhudia kilichotokea kabla na baada ya mtoto huyo mwenye ndoto za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupewa nafasi ya kukaa kwenye kiti maalum cha Rais Samia.
Tuko mbashara kupitia chaneli ya UTV, Youtube, facebook na Twitter.
#UzinduziMinaraDTT #AzamTV #10DaimadamDam
@ItsKamala Sahihi kabisa Kamala.Ingawa sijui ulimlenga nani kwa ujumbe wako Ila unewaambia sahihi ,muhimu upunguze ukali wa maneno kama kupiga spana ,hahaa
Leo ni miaka miwili tangu tuondokewe na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Mwenyezi Mungu aendelee kumpa pumziko jema na aendelee kuwatia nguvu wanafamilia wote. Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kumuenzi kwa kuendeleza mazuri aliyoyaanzisha.