I stated that Tanzania is wealthier, has better planning compared to Kenya. Round II. In fact second only to Egypt in Africa.
Tanzania is constructing 2500km of SGR and financing 60% from Exchequer. About US$ 5B and borrowing only US$2B.
Kenyan SGR is only 600km so far and it is borrowing 100%.
Kenya can't do 200km of a mere Bitumen Road Limuru Mau Summit and has to resort to a PPP which is a very expensive Loan???
Tanzania has just completed Julius Nyerere 2115MW HPP at a cost of US$ 2.9 Billion from Exchequer and has paid 100% No loan.
Kenya doesn't have money for for a much smaller Grand Falls 1000 MW.
Kenya's Debt is KShs 13 Trillion. Tanzania is 50% of that figure.
In fact which is the biggest Project Kenya has financed from its own resources the last 20 years?
I can't think of any.
Forget the cooked GDP figures that Kenya is the biggest Economy.
#TajiriLaKihaya
Habari za Asubuhi JANJA wa Timberโฆ
Kulikua na haja gani ya kunitukana na kuniMention kwenye mambo yenu??
Mbona nlisha KuBLOCK kila mtu afanye mambo yake?
Jana nlikua Safarini nlichoka saana,sikupata muda wa kukujibu on time! Aahh nmesahau nlikua nasafiri na ndege ya kuunganisha Bukoba-mwanza alafu Darโฆ
Ila saa hizi muda ninao wa kutosha nkasema nianze Na hili kabla sijasahau!
Iko hivi, kwanza kabisaa Naomba Mnisamehe kama nliwakwaza nlikosea saana mimi naomba yaishe ๐๐ฝ
Ila hata nkiishia hapo kwenye msamaha najua uta QUOTE Na matusi yako kama kawaida,Maana akili zako kidogo bangi iliharibu๐
BADO mimi ntasimama kwa maneno yangu nlioyasema kipindi kile Na hii Post yako imekuja KU Confirm my Points vividly!
Siku zote mimi huwa nasema kinacho tuponza sisi waTanzania ni UBINAFSI na UMIMIโฆ
Kwanza kabisa HONGERENI saana kwa ushindi huu mnono ma milionea tunazidi kuongezeka jambo zuri saana - 13m sio hela ndogo mtaji kabisaa huu..
Ila swali la msingi la kujiuliza 13m at WHAT COST???
Hebu turudi nyuma kidogo labda utanielewa vizuri-
Kipindi bwana mdogo katekwa- watu wote tuliStopisha mambo yetu ya kila siku, tukawa tunashinda SPACE humu hadi tukaunda na chama cha vijana wa X ,kupush #FreeSativa hadi ikafikia hatua kuwaBlock wale wote waliokua wanaPush # tofauti na hio wakiwemo mboga mbogaโฆ
Baada ya Sativa kupatikana kila mtu alisikitika saana kutokana na yale mazingira - Nchi nzima magazeti,vyombo vya habari vyote ikawa habari ni SATIVA hadi vyombo vya kimataifa ikiwemo BBC ilireport- hadi watetezi wa haki za binadamu waliingilia kati-
That was a Golden Opportunity ya kupata #JusticeForSativa โฆ hadi serikali tuliwabana vizur saana!
Na tulitaka SATIVA ndio awe kijana wa mwisho kutekwa- jambo hilo lisiwahi tokea tena!
Lakini Ghafla mtu ambae dunia nzima inasubir atoe Tamko anaanza kupost mikeka๐ it was a big disappointment!
Na hapo ndipo kupata haki kulipo potea hadi leo hii!
Alafu unakuja kutuambia, tulipoteza jambo la msingi kama hili kisa milion 13???
Laiti tungebaki kwenye mstari Na kuwabana vile kwa UMOJA uleโฆ leo hii hatungekuwa tunaongea habari za akina SOKA Na wengineo KUTEKWA tenaโฆ
Vijana wanaendelea kutekwa kwa sababu ya 13m what a JOKE!
Sisi ambao kidogo tulikua tunakutana Na wabunge/mawaziri kipindi hicho tunafaham ni jinsi gani tulikua tumewakamata pabaya serikali Na walikua wanakiri.
Kama unakumbuka kipindi kile nliwauliza kama ni hela ndio tatizo semeni tujichangishe tena!
Au mliona kipindi kile kwa kua ana viewers wengi mtumie huo mwanya kupush mambo yenu? Kwa hio mlitutumia? Then you are an opportunistic.
Laiti kama mngeliweka wazi hili toka mwanzo- tungetumia account nyingine Au hata ya kwako na labda angekuwa namba moja africa nzima!
Mbona kipindi ametekwa wewe JANJA. Haukua unapost mikeka?? Maana shindano lilikua bado linaendelea?
Maana ulikua unatupatia update kila siku ya kinachoendelea hadi muda mwingine ulikua unapost umezunguka vituo vya polisi hadi umeishiwa nauli ya Bolt- alafu leo unakuja kutamba online jinsi mna mamilion kwenye account ๐ kwa hio kipindi kile ulikua unatudanganya-ulitaka Huruma?? Huu kama sio Utapeli ni nn?
Anyway- tumewaelewa from your Post mlifaham mnachokifanya sio sawa kutoa watu kwenye Reli Ila mliona kwa wakati huo HELA kwanza..
Sasa kuanzia leo, Hamna morale authority ya kuwakemea wa push hashTag, Maana na wenyewe wanapata pesa!
Kuanzia leo hamna morale authority ya kumkemea spika wabunge na wabunge ambao wameshindwa kuongea maswala ya UTEKAJI bungeni Maana na wenyewe wana linda Kibarua chaoโฆ
Kuanzia leo hamna morale authority ya kumsema Shangaz Fatma kukataa kumuita huyu raisi Evil wakati hayati alimuita hivyoโฆ
KARIBUNI MNIPIKE- muda leo ninao wa kutosha kabisaaa๐
Africa's richest man Aliko Dangote offered to lead the construction of an oil refinery in Tanzania, with plans modeled on Nigeria's Dangote https://t.co/cdmFvREjse
KILA LAKHERI WASAILIWA
Tunawaamini, tunawaheshimu, na tunawatakia mafanikio mema katika kila hatua ya mchakato.
Kumbuka: Uwezo, nidhamu na kujiamini ni silaha zako kuu.
Ifikapo 2050, nalenga kumiliki viwanda 20+, kuajiri Watanzania 100,000+, na kuchangia 2%โ5% ya uchumi wa $1T. Ndoto yangu ni kuwa kinara wa viwanda na ajira Tanzania kama mtanzania mwenye asili ya Tanzania wa kwanza.