@KingSaluu Mzee acha watu wapige hela, si ulisema watu wapige hela?! Acha Jamaa akaokote mpunga hata akiwa 3rd Coach. Mambo ya itakuwaje mbeleni hayana mpango!
@WideEdson@shiggaJr Nimekulia Sengerema pale, kuna sehemu kuna jiwe alikanyaga ukabaki mguu wake, ni pale maeneo ya mashamba ya polisi kwa chini, njia ya kuelekea Sekondari ya Nyampulukano. Tulivyokuwa wadogo miaka ya 2001-2002 tulipenda sana kwenda pale kucheza! Sijui kama wanaitunza ile historia!